Nani yuko macho tupige stori?

Nani yuko macho tupige stori?

Ujue jamii forum ingekua na kitu kama messenger hivi ambapo waliopo online wanaweza chat privately one to one. Ingeweza kuitwa Jamii messenger. Ni mawazo yangu tu wanajamii

Mawazo yako yapo kwenye folen,bila shaka yatashuulikiwa
 
Jamani mmeweka komeo kule getini?? Mana hawa dume hawasomeki,tunaweza nogewa bure tukavamiwa
 
Ujue jamii forum ingekua na kitu kama messenger hivi ambapo waliopo online wanaweza chat privately one to one. Ingeweza kuitwa Jamii messenger. Ni mawazo yangu tu wanajamii
Suala hilo limeshawahi kuzungumziwa lakini nadhani linafanyiwa kazi...Mfano kwenye homepage yangu kuna some kind of instant messenger lakini nikibonyeza inanipeleka kwenye page mpya ambapo natakiwa ni log in na kuanzia hapo havikubali so i think that idea will be established/implemented soon!!
 
Back
Top Bottom