Valentina
JF-Expert Member
- Oct 12, 2013
- 24,684
- 28,777
hahahaaa..wameshalala waamshe basi..
Nimewavurumusha,sasahiv watatia maguu apa japo wamevuta midomo kwa hasira ya kuwaamsha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahaaa..wameshalala waamshe basi..
Ha ha ha maskini walikuwa na njaaa!!!Nimekionea huruma wallahi!!
Hahahahahah alafu wajua hakujua kwanini wale kuku wanamkimbiza vile....
He he he we una piga miayo tu ndo maana wapitwa loh!!Mbona mwaniacha nyuma tena?
Aliogopa sana sio siri naona atakuwa anaota usiku kuku wanamkimbiza dah....Dadaangu anaogopa sana kuku...Kuna siku aliadhibiwa alipokuwa anasoma shule ya msingi,akaambiwa asafishe banda la kuku dah...yaaani humsogezei kuku alokuwa hai anaweza azirai..LAKINI ANAVYOWAPENDA KUWALA ANAWEZA ALE KUKU KILA SIKU:smile-big::smile-big::smile-big::smile-big::smile-big::smile-big:Mie vile anavolia weee basi namuonea huruma.......sipendi kumsikia mtoto analia au kumuona anapigwa naumia sana...
Nimewavurumusha,sasahiv watatia maguu apa japo wamevuta midomo kwa hasira ya kuwaamsha
He he he we una piga miayo tu ndo maana wapitwa loh!!
Aliogopa sana sio siri naona atakuwa anaota usiku kuku wanamkimbiza dah....Dadaangu anaogopa sana kuku...Kuna siku aliadhibiwa alipokuwa anasoma shule ya msingi,akaambiwa asafishe banda la kuku dah...yaaani humsogezei kuku alokuwa hai anaweza azirai..LAKINI ANAVYOWAPENDA KUWALA ANAWEZA ALE KUKU KILA SIKU:smile-big::smile-big::smile-big::smile-big::smile-big::smile-big:

Haaaaa sidhani kama ataacha wengine wanaogopa vidudu viduchuu itakuwa kuku mwe....Hee!! Mwambie aache uoga wa hivo banah
umekula nini leo mwenzetu?Miayo ya shibe hiyo
Vp mwenzetu
umekula nini leo mwenzetu?
Ndio nimeingia lindo lol...
nimewaona..ngoja niwasikilize manake wanaongelea mambo ya kuku na mtama sijui ndo nini!
Ndio nimeingia lindo lol...
naona nitafute mouth mask na air freshner nikae navyo karibu maana hali ya hewa itachafuka muda si mrefu!!Makande,apa ni mwendo wa kulipua mabom tu..najuta kuyala
We wasikilizie tu,utaelewa