Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,486
- 51,156
Mimi apa😉😉😉😉😉😉
nimekumiss jamani..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi apa😉😉😉😉😉😉
We mtoto lala
Nani yko tayar kukesha nami leo humu ndani?
Mimi apa😉😉😉😉😉😉
im!? unatumia drink gani?
Count on me too people!!!
TeAm popo......
leteni stori watanzagiza
Poa...nimepitwa na lipi hapa??Mambo mrembo
Atakaelala namwagia maji kitanda
Usimuamshe alolala utalala weye :smile-big::smile-big:Atakaelala namwagia maji kitanda
Atakaelala namwagia maji kitanda
farkhina ile kideo ya yule mtoto akikimbizwa na kuku ni balaa kile kitoto kitapata phobia ya kuku lazima haaa maana walikuwa na desparate halafu walivyovamia mfukoa sasa mameeeee
Kulikuwa na nn kwenye ule mfuko ulowatia wale kuku wazim???matama ama mahindi :smile-big::smile-big::smile-big::smile-big::smile-big::smile-big:Hahahahahah alafu wajua hakujua kwanini wale kuku wanamkimbiza vile....
Kulikuwa na nn kwenye ule mfuko ulowatia wale kuku wazim???matama ama mahindi :smile-big::smile-big::smile-big::smile-big::smile-big::smile-big:
Poa...nimepitwa na lipi hapa??
Ha ha ha maskini walikuwa na njaaa!!!Nimekionea huruma wallahi!!Mchanganyiko wa chakula cha kuku.....wao shida yao ni chakula yeye kajua anakimbizwa labda wanataka kumla yey....