Nani yuko macho tupige stori?

Nani yuko macho tupige stori?

jaman leo 24 nishaii! bang mbaya! watoto wakali nishaiii, menu mapema mambo juu kwa juuu
 
we nouma ila usingizi nouma pia jana nikasikia mtu anaaga . Naona mlinzi Ngongoseke kashapitiwa jana Jerrymsigwa kanambia kazi hiyo inataka moyo aswaaa.

Ahhahahaha alafu nnavojifanya mjanja eti nawatishia nna bakora anaesinzia namchapa kumbe mwenyewe nasinzia...
 
Last edited by a moderator:
Duh aisee ana zali huyo dogo! Ila hii kitu mtu huwez panga kweli? Ukitafuta mtaji wa m20 ukajipigia kura mkuu?
 
Back
Top Bottom