Wenye banda lao ndio wanaingia vooo!!! Jerrymsigwa@farkhina@rugebwe78@bily mko wapi?
Nipoooo......hujambo?
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wenye banda lao ndio wanaingia vooo!!! Jerrymsigwa@farkhina@rugebwe78@bily mko wapi?
Jerrymsigwa hujambo?Naaaam! Naskia tz kuna bong star search whatever
Jerrymsigwa hujambo?
Yeah cool, za usiku/mchana?
Nipoooo......hujambo?
Nawe huushiwi vituko
vyepi tena mkuu
Naaaam! Naskia tz kuna bong star search whatever
Huwa nasikia tu hayo mavitu hata siyajui
Sana tu unajua tena popo halali usiku
Hahahahaha vipi ushaanza kufungua nati kidogo kidogo?
Hahaha lile ngoma moja nishalishusha wewe andaa mpunga tu,
Hahaha lile ngoma moja nishalishusha wewe andaa mpunga tu,
hawa mdemu mariyoo mjini hapa nishaiii
Ndio bei gani vile....nshasahau
bily hapa kuna minara miwili na wa tigo,nishamshawishi mlinzi mwenzangu hapa kakubali tunauza yote usijali wewe leta customer tuMkuu Ngongoseke jana nilikwambia kuwa wateja watatoka zimbabwe au Namibia nashangaa unataka kumuzia farkhina ohoo utadakwa.
Subiri nishushe zote ntakupa bei ya jumla
bily hapa kuna minara miwili na wa tigo,nishamshawishi mlinzi mwenzangu hapa kakubali tunauza yote usijali wewe leta customer tu
mkuu leo ujakimbia kama jana ila hii ndo mida yako usijekukimbia.