Ngongoseke
JF-Expert Member
- Jan 1, 2012
- 3,202
- 1,462
bily nipo wala sijalala mbu nasema nao hapa nkilala watanifanya kitoweo hapawe nouma ila usingizi nouma pia jana nikasikia mtu anaaga . Naona mlinzi Ngongoseke kashapitiwa jana Jerrymsigwa kanambia kazi hiyo inataka moyo aswaaa.
Last edited by a moderator: