bily
JF-Expert Member
- Apr 5, 2012
- 8,029
- 5,796
Mkuu sipotei nipo jana ilikuaje make uliondoka bila kuaga wangekukaba je?
hHaaaaaaa ww usije potea! mkuu kama jua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hHaaaaaaa ww usije potea! mkuu kama jua
Mkuu Ngongoseke jana nilikwambia kuwa wateja watatoka zimbabwe au Namibia nashangaa unataka kumuzia farkhina ohoo utadakwa.
Hahahahahahahaha nawe sasa hiyo bendi mie ntapigia masufuria?
dah mambo aje za tangia jana
Poaa.....jana yalinishinda nkaanza kusinzia😉😉😉😉😉
pole sana mi mwenyewe nilifikiria hivyo.
hamjambo hapa?
Ahhahahaha alafu nnavojifanya mjanja eti nawatishia nna bakora anaesinzia namchapa kumbe mwenyewe nasinzia...
we nouma ila usingizi nouma pia jana nikasikia mtu anaaga . Naona mlinzi Ngongoseke kashapitiwa jana Jerrymsigwa kanambia kazi hiyo inataka moyo aswaaa.
Mwalu vip mshindi wa Bss ni nani au bado?hamjambo hapa?
Sina mgeni bana niko tuu bored bored
Pole sana...basi hata huongei
Sina mgeni bana niko tuu bored bored
mkuu tatizo nini ? Angalia bwana usije ukakosa sensa km we wa kwetu kule.
Ha ha haaa weee usinichekeshe!