MOORIINGEE
JF-Expert Member
- Oct 31, 2013
- 381
- 190
hata mimi nimeshngaa sanaKumbe tupo wengi!
naomba nianze na stor ninyi mmegoma! nipo safarini kikazi kwenda Arusha ila ktokana na kwenda mwendo mrefu imetubidi tulale hapa Manyala! nimefika Manyara maira ya saa 3.15 usiku gesti ni nyingi sana ila cha ajabu zote zimejaaaaaa, tumebahatisha sehemu moja tikapata vyumba vitano! sehemu zote zilizojaa ni kwamba wadada wa Kimbulu, kimang'ati, kibarabeigi wenyewe ndo huchukua vyumba wakisubiri mtu wa kulala naye! cha ajabu hawakatai kwenye yale mambo yetu! tumejiuliza sana na wenzangu, tukiwa tunapata mbili tuliwadadsi wenyeji wakasema huku si wanaume si wanawake wote kapu moja, hakuna na wivu, mtu anaondoka na mama ikibidi na watoto hata wawtatu hata wakijuana hawana wivu! hii ni zaidi ya Sinza inavyojaa Ijumaa na Jumamosi! kwamara ya kwanza nafika Manyara..................ukistaajabu ya musa ...........................
laweza kuwa jibu, ila wakati mwingine ni hali halisi ya mazingira
no tulipita kupata kuku ya kuchoma na wandugu niliyonao sasa tumerudi kupumzika! nimeishangaa manyala kwa kweli.............. tunakazi ya Zaiada Tume ya Kupambana na UKIMWIDuh aisee, hao nao wanaleta mambo ya kudalesalam hadi manyara? So mda huu uko na mmoja ama
Niko macho
hata mimi nimeshngaa sana
We ke ama me
no tulipita kupata kuku ya kuchoma na wandugu niliyonao sasa tumerudi kupumzika! nimeishangaa manyala kwa kweli.............. tunakazi ya Zaiada Tume ya Kupambana na UKIMWI
Kaka uukikumbuka wanaokutegeme tu speed na urafi wote unaisha...........teh teh teh, jisevie kaka usogope
nani huyo!
Kaka uukikumbuka wanaokutegeme tu speed na urafi wote unaisha...........
hebu wenye uzoefu wa mkoa huu tuambieni, kwa Dar chukua Sinza na vitongoji vyake vyote ukose vyumba ........ila hapa ni zaidi ya Sinza wa ndugu.................TACAIDS wanakaziSo hujapata hata 1 aisee? Ukimwi unapata mara1 tu heri ya hao wako open kuliko wale wanaojificha wanafiki
hebu wenye uzoefu wa mkoa huu tuambieni, kwa Dar chukua Sinza na vitongoji vyake vyote ukose vyumba ........ila hapa ni zaidi ya Sinza wa ndugu.................TACAIDS wanakazi
Te te teee watu wanataka kuja inbox bana ha ha haa toa jinsia yako mkuu
So hujapata hata 1
aisee? Ukimwi unapata mara1 tu heri ya hao wako open kuliko wale
wanaojificha wanafiki
:bange::behindsofa::lalala:habari wapendwa. mimi usingizi umegoma, ambaye hajalala karibuni kwa stori.
we nenda tu pm tutajuana hukohuko kama wote madume au la
:bange::behindsofa::lalala: