Nani yuko macho tupige stori?

Nani yuko macho tupige stori?

naomba nianze na stor ninyi mmegoma! nipo safarini kikazi kwenda Arusha ila ktokana na kwenda mwendo mrefu imetubidi tulale hapa Manyala! nimefika Manyara maira ya saa 3.15 usiku gesti ni nyingi sana ila cha ajabu zote zimejaaaaaa, tumebahatisha sehemu moja tikapata vyumba vitano! sehemu zote zilizojaa ni kwamba wadada wa Kimbulu, kimang'ati, kibarabeigi wenyewe ndo huchukua vyumba wakisubiri mtu wa kulala naye! cha ajabu hawakatai kwenye yale mambo yetu! tumejiuliza sana na wenzangu, tukiwa tunapata mbili tuliwadadsi wenyeji wakasema huku si wanaume si wanawake wote kapu moja, hakuna na wivu, mtu anaondoka na mama ikibidi na watoto hata wawtatu hata wakijuana hawana wivu! hii ni zaidi ya Sinza inavyojaa Ijumaa na Jumamosi! kwamara ya kwanza nafika Manyara..................ukistaajabu ya musa ...........................

teh teh teh, jisevie kaka usogope
 
laweza kuwa jibu, ila wakati mwingine ni hali halisi ya mazingira

Na ulimbukeni pia umo. Tunafoji mno, hadi maisha mtu anafoji haishi vile yuko anataka kuonekana!

Kuna baadhi ofcoz just for privacy, lakin sio zote na nyingi ni kwa ajili ya show off
 
Duh aisee, hao nao wanaleta mambo ya kudalesalam hadi manyara? So mda huu uko na mmoja ama
no tulipita kupata kuku ya kuchoma na wandugu niliyonao sasa tumerudi kupumzika! nimeishangaa manyala kwa kweli.............. tunakazi ya Zaiada Tume ya Kupambana na UKIMWI
 
no tulipita kupata kuku ya kuchoma na wandugu niliyonao sasa tumerudi kupumzika! nimeishangaa manyala kwa kweli.............. tunakazi ya Zaiada Tume ya Kupambana na UKIMWI

So hujapata hata 1 aisee? Ukimwi unapata mara1 tu heri ya hao wako open kuliko wale wanaojificha wanafiki
 
Kaka uukikumbuka wanaokutegeme tu speed na urafi wote unaisha...........

Ndugu ujinga umeongea point sana! Dah hiyo true kbs, Mungu akusaidie uogope zinaa na sio ukimwi tu
 
Last edited by a moderator:
So hujapata hata 1 aisee? Ukimwi unapata mara1 tu heri ya hao wako open kuliko wale wanaojificha wanafiki
hebu wenye uzoefu wa mkoa huu tuambieni, kwa Dar chukua Sinza na vitongoji vyake vyote ukose vyumba ........ila hapa ni zaidi ya Sinza wa ndugu.................TACAIDS wanakazi
 
hebu wenye uzoefu wa mkoa huu tuambieni, kwa Dar chukua Sinza na vitongoji vyake vyote ukose vyumba ........ila hapa ni zaidi ya Sinza wa ndugu.................TACAIDS wanakazi

Mkuu hivi hapo ndio babati au ni sehem tofaut?
 
Back
Top Bottom