Ajax 2 Barcelona 1
Duuuuh leo nlilala balaaa at leadt ndio naamka sasa!!
Upo kaka? Tumekutana tena usiku wa Leo,isije kuwa na wewe mlinzi kama mimi
Upo kaka? Tumekutana tena usiku wa Leo,isije kuwa na wewe mlinzi kama mimi
farkhina umeona eeh, ha ha haa ifike sa10 hapa kimyaaaaAhhahahahhaha subiri nipite baada ya 3 hours nyote mnakoroma lol
farkhina umeona eeh, ha ha haa ifike sa10 hapa kimyaaaa
i think nataka kuwasiliana tu sio mbaya hata mm napata wakati mgum sana kulala usiku i dnt knw
pole, leo watu wamelala, jana ndo ilikuwa mwake!
Hahahaha mida hiyo kweupeeee..
Nilizuga nini wakati nlikua nakuona wasinziaπππππaaah! farkhina, leo hongera! jana ulizuga ati!
Ikiwa unapost comment Jf sasa ivi (kwa saa za Tz), huenda status ya uhusiano wako ni:
-single
-amesafiri
-ameniboa
-leo kaniboa
Am sure wale ambao wako on the same bed ngumu kuupdate status mida hii
Cc: farkhina
We umelala na unalog in Jf?
hivohivo ki usingizsingiz kama yule wa jana aliyekuwa anaota huku analog in!
Nilizuga nini wakati nlikua nakuona wasinziaπππππ
Mie kila siku mwenzangu....ntakula wapi nsipo lindaππππ