Nani yuko macho tupige stori?

Nani yuko macho tupige stori?

team popo pole yanga kwa yote yaliyokukuta leo
 
kazin saa 2 unakaa bunju ofis buguluni kula maisha na jam la dar mtaomba poo mwaka huu pesa hamna foleni palepale... baby walker
hahahaaaaaaaaaaa....mkuu we unakaa sehemu haina folenii?
 
kazin saa 2 unakaa bunju ofis buguluni kula maisha na jam la dar mtaomba poo mwaka huu pesa hamna foleni palepale... baby walker
dah leo imenibidi nitembee kwa mguu,metoka external kuja ubungo asee mekutana na jam...iyo hatar
 
Back
Top Bottom