24hrs
JF-Expert Member
- Aug 11, 2016
- 2,630
- 5,958
wa mikoani wanaelewa hili swala ila dar hatal kwa afyauku kwetu folen hamna wajameni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wa mikoani wanaelewa hili swala ila dar hatal kwa afyauku kwetu folen hamna wajameni
wapii uko jombaa?uku kwetu folen hamna wajameni
watoto wanaludishwa mashuleni nn pole km 0.5dah leo imenibidi nitembee kwa mguu,metoka external kuja ubungo asee mekutana na jam...iyo hatar
aaah kawaida,ukijumlisha na joto...afu na sehemu ulotoka hujaingiza hat mia.ni balaa tupuuuuuuuwa mikoani wanaelewa hili swala ila dar hatal kwa afya
nipo morowapii uko jombaa?
hahahaha...kawaida sana mkuu,mihangaiko tuu...watoto wanaludishwa mashuleni nn pole km 0.5
haaa kuanzia saa 2 mpaka saa kum unapishana na makarats kasain peleka kul mtaelewa no posho...nipo moro
aah,afadhali ya kwenu uko...mna raha kidgo mtu ata unaweza kuwa na kausafir kako ukaperuziii mitaani vzur tuu sio kwa dar aseenipo moro
folen mtasikia siku mtu amekufa kwenye jam juu ya pressurehahahaha...kawaida sana mkuu,mihangaiko tuu...
dah leo imenibidi nitembee kwa mguu,metoka external kuja ubungo asee mekutana na jam...iyo hatar
hatal sana makontena yote ya waarabu ndo njia yaoPole mkuu dah nakumbuka mwaka 2008 hiyo Mandela Road ilikua kwenye rehabilitation jam ilikua hatari wacha kabisa. Nina muda kidogo sijatia maguu motherland nahisi Kama jam imepungua.
Sina muda maalumu wa kutoka mkuu maana ndo kwanza naanza kuchati sasa.kalibu mwisho saa ngap utatoka.. useme😀😀😀😀😀😀
na tunakuhitaj kesho saa 2 kazin iw shulen ofisin chuon utaelewa tu ahhaaaSina muda maalumu wa kutoka mkuu maana ndo kwanza naanza kuchati sasa.
Hahahaha!! Sawa mkuu 24hrsna tunakuhitaj kesho saa 2 kazin iw shulen ofisin chuon utaelewa tu ahhaaa
kwema naona maluwe luwe nataman ningepata wireless keyboard ili usingz ukinivaa nitupe kule pcHahahaha!! Sawa mkuu 24hrs
Vipi kwema lakini mkuu
hahaha kweli kabisa mkuu,hasa ukichanganya na jotoooohizo
folen mtasikia siku mtu amekufa kwenye jam juu ya pressure