24hrs
JF-Expert Member
- Aug 11, 2016
- 2,630
- 5,958
ahaaa nilihma simba 2015 na kubaki na azam kwa kuogopa ugonjwa wa pressuredoh pole mkuu,dah kweli ase hata mi jana sikuwa na mzuka yanga hawajanitendea haki mi shabiki na mpenzi wao.ngoja tukalipize kwa simba kesh kutwaa ase