Wakuu nadhani ni muda wa vyombo vya usalama kuamka na kuchunguza walio nyuma ya Lissu na nia ovu kupitia suala la Muungano.
Anachokifanya Lissu kipo kimkakati sana na hadi sasa naona kafanikiwa pakubwa kwenye nia yake ovu. Kutamka hadharani kuwa "huyu Rais mzanzibari anauza ardhi yetu" sio bahati mbaya. Kuna watu nyuma yake ambao huenda wako ndani ya CCM au nje ya CCM. Ninamshauri Rais Dr Samia atumie vyombo vyake kudhibiti mapema hiki kinachoendelea.
Wale watetezi wa Lissu ni wa kuwapuuza kwasababu wengi wao ni maskini watakaoteseka endapo Lissu na genge lake wakifanikiwa wanachokitaka. Ikumbukwe Lissu, Lema, Sugu, Mbowe na viongozi wengine wa juu CHADEMA wana access ya kwenda Ulaya muda wowote wakitaka wao na familia zao hivyo haiwadhuru kabisa wao kueneza chuki.