Mkakati wa kipumbavu ni ule wa kudumaza akili za watanzania kwa kuwalazimishia Muungano wa Kishoga kama huo. Muungano ambao hata punguani lazima angeona ulazima wa kuubadilisha.
Huo Muungano wenu hauna tofauti na kukubali ndoa za kishoga, yaani za jinsia moja.
Mdomoni watanzania wanapinga mapenzi ya jinsia moja, lakini ukiungalia mfumo wao wa maisha ndiyo wanachokiishi.
Rekebisheni Muumgano huo ili tuiboreshe nchi na kudumisha amani, upendo na uzalendo. Mtu anawezaje kuwa Mzalendo kwa nchi ambayo unaona ni kama mtu aliyekalia middle finger kwa aina ya muungano wake?
Ila kujadiliana na nyie ni kupoteza muda tu, kesho rais Samia akiamka na kukubaliana na hoja za Lissu na nyie mtabadilika na kuanza kumshangilia mama kuwa anaupiga mwingi.
Kwa kifupi nyie mnaotangulizwa mbele zamani ndiyo tulikua tunawaita maamuma, sema jina maamuma mmeona kama linawatukanisha mkaona mjiite machawa. Huwa kamwe hamjui mtakacho.