Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
Huyu cheusi mangala nae kila siku kulalamika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
habadiliki huyo ila soon atabadilika baada ya kupotezewa na kila mtu ,imebaki kama asilimia tano,ana dharau sana huyo ****,hapa mwanza kipindi anaanza kujulikana akiwa na kidbway alianza tabia ya kutembea na bodyguard na kuanza kunata,hawana hata hamu naye,anachukiwa sana.Watu wachache walioko karibu na baraka wamfikishie maoni haya ya wadau, yatamsaidia sana.
Kuna watu ni nuksi maishani wao lazima uwachane tuu hatakama vinywa vyao vinatoa moto.
Sasa kama mtu hutendewi haki aishije sasa? Unapoona hujatendewa uungwana we funguka...
Inakwaza pale mtu unapokua uko sahihi halaf wajinga tuu from no where wanaanza kutia shombo ili ku take advantage.
Pamoja na yote hii ndio sababu wabongo hatusongi mbele sababu ya woga tuu na hofu eti ujinyime uhuru matokeo yake wengi hata wanaume wanaolewa huko na kuanza kutendewa vitendo visivyo vya kibinadamu.
Nani wa kumezea kitu moyoni??.. never & never...
Baraka ajipange arudi apige mziki wake fresh tuu atemane na vimelea hivo...
Mungu ni mwema watu sio Mungu useme wanabeba uhai/mafanikio yako life lipo popote pale duniani.[/
Basi mkuu kwa vile unamfahamu kwa kina jaribu kumsaidia tatizo lake wenda hayuko vizuri kisaikolojia.unabadili lebo mara tatu kote unatoka na matusi ,alianza kwa kidbway akaja kwa jamaa gani sijui dar wakampa rav 4 akamchmba sana kid bway na dharau juu ingawa ndiye aliyemtoa...jamaa wale akshindwana nao akingia rockstar akawafananisha wale ni nyumba ya matope na rockstar ni ghorofa,juzi katoka rockstar na matusi tena,halafu jaribu sana kumuangalia interview zake na jinsia ana vyo handle social media accounts zake,that kid is a disaster,hovyo kabisa.
Kwahiyo tuamini maneno yake Tu au?Ulishawahi kuona baya la linalosemwa kuhusu chadema ccm wanaomba ushahidi si wataanza unga mkono tu, ila chadema wao watataka ushahidi.
Same applied to baya la ccm chadema hawawezi omba ushahidi wataponda ila ccm wataomba ushahidi.
Hiyo mpaka kwenye team za wasanii wetu.
Hivyo wabongo ushahidi kwao inategemea anayesemwa anampenda au anamchukia
fake viewers wanakuwa hawapatikani ki halali au maana hata mimi natafuta viewers kwenye makala yangu flan nafanyaje niwapate viewers wengiHao fake viewers mbona youtube uwa haiwaondoi kama kweli ni fake?
Maana youtube uwa wanaondoa fake viewers baada ya muda flani.
Mond bin laden katisha bwana ukitaka jua ilo muulize AY alipompa collabo alipata viewers ambao hajawahi kupata toka aanze kuimba
Yah hawapatikani kihalali wanatumia njia za panya kuwapata.fake viewers wanakuwa hawapatikani ki halali au maana hata mimi natafuta viewers kwenye makala yangu flan nafanyaje niwapate viewers wengi
[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23]Huyu jamaa haeleweki Mara anasema ni max carter Mara anasema ni seven, then anarud kwa max carter anaomba msamaha anasema alishauliwa na shilole aongee HVO!!
Prince wa Mwanza ana matatizo aisee[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23]
alishauliwa na shilole?
Huyu Jamaa bwana! nilikua sijasikia hilo