Nani yuko nyuma ya viewers wa youtube kwenye ngoma mpya ya baraka?

Nani yuko nyuma ya viewers wa youtube kwenye ngoma mpya ya baraka?

Kwani kabla ya you tube nyimbo zilikiwa zinachezwa wapi aache ujinga nyimbo yenyewe siku nzima hapigwi redioni.
Dharau na majivuno katika kazi haa inayohitaji mashabiki ni sumu ni matajiri wachache wanaosikiliza bongo flavour huo mziki tunausikiliza sisi watu wa Hall za kawaida na ndo anatuletea nyodo na kibaya zaidi mziki umeingia team mtu hutakiwi kuchagua upande kwa ajili ya biashara yako sasa apambane na Hali yake haoni wenzake wako katikati sio domo wala kibakuli mdomo utaendelea kumponza
 
Dogo ana kipaji hii iko wazi kitu anachosahau ni kwamba hauwezi kumchimbia mwenzako kaburi bila wewe kuingia ivyo ukijichanganya unazikwa wewe,ametengeneza idadi kubwa ya maadui mpaka anashindwa kujua nani amemlipua kwenye hili naona anamsema kila mtu sasa ila uhalisia ni kua adui wa kwanza wa muziki wa Baraka ni Baraka mwenyewe na alivyo mpuuzi hajifunzi kabisa maana amewahi kuonja joto ya jiwe toka kwa mashabiki wa team zote mbili kwa nyakati tofauti.
 
Watu wachache walioko karibu na baraka wamfikishie maoni haya ya wadau, yatamsaidia sana.
habadiliki huyo ila soon atabadilika baada ya kupotezewa na kila mtu ,imebaki kama asilimia tano,ana dharau sana huyo ****,hapa mwanza kipindi anaanza kujulikana akiwa na kidbway alianza tabia ya kutembea na bodyguard na kuanza kunata,hawana hata hamu naye,anachukiwa sana.
 
Kuna watu ni nuksi maishani wao lazima uwachane tuu hatakama vinywa vyao vinatoa moto.
Sasa kama mtu hutendewi haki aishije sasa? Unapoona hujatendewa uungwana we funguka...

Inakwaza pale mtu unapokua uko sahihi halaf wajinga tuu from no where wanaanza kutia shombo ili ku take advantage.
Pamoja na yote hii ndio sababu wabongo hatusongi mbele sababu ya woga tuu na hofu eti ujinyime uhuru matokeo yake wengi hata wanaume wanaolewa huko na kuanza kutendewa vitendo visivyo vya kibinadamu.

Nani wa kumezea kitu moyoni??.. never & never...

Baraka ajipange arudi apige mziki wake fresh tuu atemane na vimelea hivo...
Mungu ni mwema watu sio Mungu useme wanabeba uhai/mafanikio yako life lipo popote pale duniani.
 
unabadili lebo mara tatu kote unatoka na matusi ,alianza kwa kidbway akaja kwa jamaa gani sijui dar wakampa rav 4 akamchmba sana kid bway na dharau juu ingawa ndiye aliyemtoa...jamaa wale akshindwana nao akingia rockstar akawafananisha wale ni nyumba ya matope na rockstar ni ghorofa,juzi katoka rockstar na matusi tena,halafu jaribu sana kumuangalia interview zake na jinsia ana vyo handle social media accounts zake,that kid is a disaster,hovyo kabisa.
Kuna watu ni nuksi maishani wao lazima uwachane tuu hatakama vinywa vyao vinatoa moto.
Sasa kama mtu hutendewi haki aishije sasa? Unapoona hujatendewa uungwana we funguka...

Inakwaza pale mtu unapokua uko sahihi halaf wajinga tuu from no where wanaanza kutia shombo ili ku take advantage.
Pamoja na yote hii ndio sababu wabongo hatusongi mbele sababu ya woga tuu na hofu eti ujinyime uhuru matokeo yake wengi hata wanaume wanaolewa huko na kuanza kutendewa vitendo visivyo vya kibinadamu.

Nani wa kumezea kitu moyoni??.. never & never...

Baraka ajipange arudi apige mziki wake fresh tuu atemane na vimelea hivo...
Mungu ni mwema watu sio Mungu useme wanabeba uhai/mafanikio yako life lipo popote pale duniani.[/
 
unabadili lebo mara tatu kote unatoka na matusi ,alianza kwa kidbway akaja kwa jamaa gani sijui dar wakampa rav 4 akamchmba sana kid bway na dharau juu ingawa ndiye aliyemtoa...jamaa wale akshindwana nao akingia rockstar akawafananisha wale ni nyumba ya matope na rockstar ni ghorofa,juzi katoka rockstar na matusi tena,halafu jaribu sana kumuangalia interview zake na jinsia ana vyo handle social media accounts zake,that kid is a disaster,hovyo kabisa.
Basi mkuu kwa vile unamfahamu kwa kina jaribu kumsaidia tatizo lake wenda hayuko vizuri kisaikolojia.
Watu wanamna hiyo wanakua wamaharibiwa eitha na mashabiki, wahasimu wao au mhusika mwenyewe hapa namfananaisha na wale ndugu wanaojioa ni bora kuliko wenzao wakat tunapiga oksijeni moja tuu na toi tunaripoti vizuri kabisa.

Pia yawezekana kakulia/kalelewa hayo maadili so kwake poa tuu...
Watu peace hawanaga hizo mambo.
 
Ulishawahi kuona baya la linalosemwa kuhusu chadema ccm wanaomba ushahidi si wataanza unga mkono tu, ila chadema wao watataka ushahidi.
Same applied to baya la ccm chadema hawawezi omba ushahidi wataponda ila ccm wataomba ushahidi.
Hiyo mpaka kwenye team za wasanii wetu.
Hivyo wabongo ushahidi kwao inategemea anayesemwa anampenda au anamchukia
Kwahiyo tuamini maneno yake Tu au?
 
Hao fake viewers mbona youtube uwa haiwaondoi kama kweli ni fake?
Maana youtube uwa wanaondoa fake viewers baada ya muda flani.
Mond bin laden katisha bwana ukitaka jua ilo muulize AY alipompa collabo alipata viewers ambao hajawahi kupata toka aanze kuimba
fake viewers wanakuwa hawapatikani ki halali au maana hata mimi natafuta viewers kwenye makala yangu flan nafanyaje niwapate viewers wengi
 
fake viewers wanakuwa hawapatikani ki halali au maana hata mimi natafuta viewers kwenye makala yangu flan nafanyaje niwapate viewers wengi
Yah hawapatikani kihalali wanatumia njia za panya kuwapata.
Lakini youtube uwa wanawalima panga na kuwaondoa baada ya muda maana uwa wanahakiki
 
Huyu msukuma amekosa adabu ingawa kuimba anajua
 
Huyu jamaa haeleweki Mara anasema ni max carter Mara anasema ni seven, then anarud kwa max carter anaomba msamaha anasema alishauliwa na shilole aongee HVO!!
 
Huyu jamaa haeleweki Mara anasema ni max carter Mara anasema ni seven, then anarud kwa max carter anaomba msamaha anasema alishauliwa na shilole aongee HVO!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23]
alishauliwa na shilole?
Huyu Jamaa bwana! nilikua sijasikia hilo
 
Akaombe msamaha kwa lollipop haiwezekani uandikiwe nyimbo halafu unakuja kuropoka hadharani eti Hujawahi andikiwa ngoma!

Mbona Sasa nyimbo zilizofuata uandishi inaonekana kabisa tofauti na zile za mwanzo?

Mbona mwenzie benpol alikibali kama mwandishi wa moyo mashine Ni lollipop?

Kwanini hutaki kukubali uwezo wa wenzio?
 
Huwezi kuendelea kwa kuwazungumzia Mabaya waliokufikisha hapo ulipo..,
 
Baraka alikuwa anakuja vizuri sana..sijui kipi kimempata aisee!!
 
Back
Top Bottom