Nani yuko nyuma ya wimbi la mapinduzi ya kijeshi barani Afrika?

bado kagame na museven. yani toka nasoma rais ni museven mpka mjukuu atamkuta raisi ni museveni. wapinduliwe tuu.
 
Ulafi wa madaraka
 
Moja ya mbinu ya kumwongoza mjinga ni kumdanganya kila nyuma ya mattzo yake kuna mzungu anasababisha ayo mattzo
Waafika tunauchu wa madaraka na pale wananchi wanapochoka na kuamua kuchukua hatua bas watawala upeleka lawama kwa wazungu sabu ndo rahisi kuwasingizia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…