Nani yuko sahihi,..Obama au Michelle?


He is eloquent....

aha ah ah haaaaaaaaaaaa......dalili za kuishiwa hoja unaanza hadi kuniwekea imagination ya Katie Middleton kwenye akili yangu...i believe am a Princess of Mr .......... and thats enough.....he he he he.....!!
 
He is eloquent....

aha ah ah haaaaaaaaaaaa......dalili za kusihiwa hoja unaanza hadi kuniwekea imagination ya Katie Middleton kwenye akili yangu...i believe am a Princess of Mr .......... and thats enough.....he he he he.....!!

Haya basi nimeishiwa hoja.
 
Mama Sitti Mwinyi nyuma ya Mzee Mwinyi???Mama Salma Nyuma ya Kikwete???????????????????Anna nyuma ya Mkapa??????????na yule nyuma ya Mwai Kibaki???????????????????????????????????????????? yote ni nguvu ya hawa wakina mama??????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????????
 

Ukimtoa mama Mkapa hao wengine they are not successful,if they were successful that theory could apply....hao wengine wana wake zaidi ya mmoja....ilo nalo ni tatizo,manake when you have so many behind you. its hard to figure out what to do.....its a huge problem....l.o.l
 
NN you are right tena especially on the Pervasive Sexism
 
Sishangai kuona Marekani wakawa na one term president coming next year
 

Michelle vipi aisee....:bolt:
 
NN, TF na Michelle....order please...order in the house!!!!!!!!!!!

Hoja ni kuwa, mtu yeyote ambaye angemwoa Michelle angekuwa Rais? Na Obama bila kumwoa Michelle asingekuwa Rais???
 
angekuwa kwao kenya kamuoa mjaluo mwenzie na hali ya hewa hii wanatafutaomena[dagaa]kidding lkn
 
DC, Obama asingeweza kumwoa mwanamke mwingine coz Michelle ndiye mkewe! inawezekana asingemwoa Michelle asingekuwa Obama tunayemfahamu. .....napita njia nimeacha mboga jikoni mwayego

Uko sahihi Mama mia, ila tukichukua msimamo wako basi hata hayo maongezi ya Obama na Michelle yatakuwa yamekufa. Hebu kuna kichwa utupe jibu basi. Yaani urais unategemea mke uliyemwoa (kwa mwanamume) au ukioa mke fulani lazima utakuwa Rais?
 
NN, TF na Michelle....order please...order in the house!!!!!!!!!!!

Hoja ni kuwa, mtu yeyote ambaye angemwoa Michelle angekuwa Rais? Na Obama bila kumwoa Michelle asingekuwa Rais???

Sasa hizo ni hypotheticals zisizo na mbele wala nyuma....lol
 
DC kwa kuwa nakuheshimu siwezi kukushushua kwa hii thread unaelewa namaanisha nini..................

Na usijibu hapa kama hujaelewa twende chemba watoto hawajalala bado
 

Sijakiona kitufe cha thenkisi, ningekugongea. Siongezi.
 

and salma is stronger than Jk...thats y we hav a very weak minded president so long as his wife is so weak....!
 

Kuna mwingine anaitwa Lucy Kibaki...............................................

Ongezea na Martha Karua japo si mke wa Rais.
 
Kuna mwingine anaitwa Lucy Kibaki...............................................

Ongezea na Martha Karua japo si mke wa Rais.

Hehehehee Lucy Kibaki mwisho aisee. Kuna wakati nadhani alimlazimisha mumewe kuitisha press conference kukanusha madai ya kuwa ana hawara au sijui kazaa nje ya ndoa. Sasa Lucy alikuwa kasimama pembeni ya Mwai wakati Mwai anakanusha. Yule mama unamwona kabisa alikuwa anafukuta ndani maana alikuwa anahema tena ile mihemo ya hasira.

Lucy kiboko aisee. Halafu nakumbuka alivyomfuata mwandishi mmoja wa habari ofisini kwake na kumzaba vibao.
 

Yule ni kiboko KE wanamuogopa ana amri kuliko prezidaaa ni kiboko ana matukioa zaidi ya mumewe ana amrisha ile mbaya.....................

Ole wao Martha Karua awe Rais wataisoma namaba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…