Nani yuko sahihi,..Obama au Michelle?

Nani yuko sahihi,..Obama au Michelle?

Ahsante Michelle,

Swali kubwa ambalo nimejiuliza ni hili, hivi Obama angemwoa mwanamke mwingine asingeweza kuwa Rais wa US? Na tukikubaliana na wewe ina maana kwamba uwezo alionao ambao ulimwezesha kuwa Rais aliupata kwa sababu alimwoa Michelle?

Nafikiria tu,....Mzee DC!!!

Inawezekana kabisa kwamba asingekua!!
Kama angepata mwanamke ambae angekua hapendi siasa kiasi cha kukataa kabisa kumsapoti asingefika hapo alipo.
Amefika alipofika kwa juhudi zake jumlisha na za mke wake....
 
and salma is stronger than Jk...thats y we hav a very weak minded president so long as his wife is so weak....!

Hahahaha lol, salma mwamuonea bana jk wenu huyu thijui hana mke? salma ni picha tu
 
Yule ni kiboko KE wanamuogopa ana amri kuliko prezidaaa ni kiboko ana matukioa zaidi ya mumewe ana amrisha ile mbaya.....................

Ole wao Martha Karua awe Rais wataisoma namaba

Japo nampenda sana Charity Ngilu ila I SALUTE Martha Karua.....that woman dares bwana....nikimuangalia bungeni kama jana anabishana kuhusus suala la kupenda bei za mafuta....nilichoka....natamani bunge letu lingekuwa na kina Martha Karua kama watatu tu...ingetusaidia sana....si huu wendawazimu wa usawa kwa kuongeza wanawake wasio na uwezo bungeni!!
 
Hahahaha lol, salma mwamuonea bana jk wenu huyu thijui hana mke? salma ni picha tu

Maty pia usisahau wanaume vichwa ngumu wasioheshimu mawazo ya wake zao....wana dharau balaa....hapo ndo mke unakuwa picha tu!!
 
Ukiiwa First Lady wangu hakikisha tunakuwa na asilimia 60 kwenye mgodi wa Geita sawa? Lol
 
ha ha ha, sawa....na zaidi ya hapo....nachokuomba tu niwe peke yangu....ukishaanza kuwa na wengine.....uwezo wangu wa kufanya hilo utapungua.....ukiongeza na wivu sitaweza timiza hilo....only one condition me&you!
 
Japo nampenda sana Charity Ngilu ila I SALUTE Martha Karua.....that woman dares bwana....nikimuangalia bungeni kama jana anabishana kuhusus suala la kupenda bei za mafuta....nilichoka....natamani bunge letu lingekuwa na kina Martha Karua kama watatu tu...ingetusaidia sana....si huu wendawazimu wa usawa kwa kuongeza wanawake wasio na uwezo bungeni!!
Wa kwetu wanajua kupiga makofi tu bungeni.kofi
 
ha ha ha, sawa....na zaidi ya hapo....nachokuomba tu niwe peke yangu....ukishaanza kuwa na wengine.....uwezo wangu wa kufanya hilo utapungua.....ukiongeza na wivu sitaweza timiza hilo....only one condition me&you!
Tunavunja kanuni for the first time in the history first lady anakuwa pia waziri mkuu.
 
mmmhhhh halafu safari za nje uwe unaniacha hapa?? nipe uwaziri wa mambo ya nje......!!! mjanja sana wewe....l.o.l:alien:
 
na kutoa huduma ambazo wanachi hatukuwatuma....(baadhi yao).....!!:yawn:
Ukiwa na mke nyumbani kama Charity Ngilu au Martha Karua yaani swafi akiwa bungeni unasema kweli yes nina jembe hawa wakwetu ndani ya miaka mitano bungeni kaongea mara mbili tu.
 
Inawezekana kabisa kwamba asingekua!!
Kama angepata mwanamke ambae angekua hapendi siasa kiasi cha kukataa kabisa kumsapoti asingefika hapo alipo.
Amefika alipofika kwa juhudi zake jumlisha na za mke wake....

Sasa nani kati ya wote wawili alikuwa na uhalali wa kumweleza hayo maneno waliyosema?
 
mmmhhhh halafu safari za nje uwe unaniacha hapa?? nipe uwaziri wa mambo ya nje......!!! mjanja sana wewe....l.o.l:alien:
Ila plan zetu zisije zika feli first born tunamfanya waziri wa mambo ya nje,second born waziri wa ulinzi, third born waziri wa nishati na madini hapo tumemaliza kazi
 
Ukiwa na mke nyumbani kama Charity Ngilu au Martha Karua yaani swafi akiwa bungeni unasema kweli yes nina jembe hawa wakwetu ndani ya miaka mitano bungeni kaongea mara mbili tu.

kweli....bora hata aongee mara mbili aongee sense...anaweza akaongea ukavunja TV...l.o.l.....cha kushangaza kuna wabunge wanaume nao wanaongea mpaka unajiuliza huyu nae kiti maalum au wananchi walimchagua??
 
Ila plan zetu zisije zika feli first born tunamfanya waziri wa mambo ya nje,second born waziri wa ulinzi, third born waziri wa nishati na madini hapo tumemaliza kazi

baba mkwe tunampa ipi?napendekeza fedha na uchumi....ili ndugu zangu wasinisumbue....:whoo:
 
Ila plan zetu zisije zika feli first born tunamfanya waziri wa mambo ya nje,second born waziri wa ulinzi, third born waziri wa nishati na madini hapo tumemaliza kazi

Aisee mbona mmebadilisha hii kitu kuwa chat room aisee?

Can we go :focus: ???????????????
 
Back
Top Bottom