Kijuram
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 513
- 374
And who is behind a failed man?
Good question!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
And who is behind a failed man?
Ahsante Michelle,
Swali kubwa ambalo nimejiuliza ni hili, hivi Obama angemwoa mwanamke mwingine asingeweza kuwa Rais wa US? Na tukikubaliana na wewe ina maana kwamba uwezo alionao ambao ulimwezesha kuwa Rais aliupata kwa sababu alimwoa Michelle?
Nafikiria tu,....Mzee DC!!!
and salma is stronger than Jk...thats y we hav a very weak minded president so long as his wife is so weak....!
Yule ni kiboko KE wanamuogopa ana amri kuliko prezidaaa ni kiboko ana matukioa zaidi ya mumewe ana amrisha ile mbaya.....................
Ole wao Martha Karua awe Rais wataisoma namaba
Hahahaha lol, salma mwamuonea bana jk wenu huyu thijui hana mke? salma ni picha tu
Ukiiwa First Lady wangu hakikisha tunakuwa na asilimia 60 kwenye mgodi wa Geita sawa? LolMaty pia usisahau wanaume vichwa ngumu wasioheshimu mawazo ya wake zao....wana dharau balaa....hapo ndo mke unakuwa picha tu!!
Ukiiwa First Lady wangu hakikisha tunakuwa na asilimia 60 kwenye mgodi wa Geita sawa? Lol
Wa kwetu wanajua kupiga makofi tu bungeni.kofiJapo nampenda sana Charity Ngilu ila I SALUTE Martha Karua.....that woman dares bwana....nikimuangalia bungeni kama jana anabishana kuhusus suala la kupenda bei za mafuta....nilichoka....natamani bunge letu lingekuwa na kina Martha Karua kama watatu tu...ingetusaidia sana....si huu wendawazimu wa usawa kwa kuongeza wanawake wasio na uwezo bungeni!!
Wa kwetu wanajua kupiga makofi tu bungeni.kofi
Tunavunja kanuni for the first time in the history first lady anakuwa pia waziri mkuu.ha ha ha, sawa....na zaidi ya hapo....nachokuomba tu niwe peke yangu....ukishaanza kuwa na wengine.....uwezo wangu wa kufanya hilo utapungua.....ukiongeza na wivu sitaweza timiza hilo....only one condition me&you!
Tunavunja kanuni for the first time in the history first lady anakuwa pia waziri mkuu.
Ukiwa na mke nyumbani kama Charity Ngilu au Martha Karua yaani swafi akiwa bungeni unasema kweli yes nina jembe hawa wakwetu ndani ya miaka mitano bungeni kaongea mara mbili tu.na kutoa huduma ambazo wanachi hatukuwatuma....(baadhi yao).....!!:yawn:
Inawezekana kabisa kwamba asingekua!!
Kama angepata mwanamke ambae angekua hapendi siasa kiasi cha kukataa kabisa kumsapoti asingefika hapo alipo.
Amefika alipofika kwa juhudi zake jumlisha na za mke wake....
Ila plan zetu zisije zika feli first born tunamfanya waziri wa mambo ya nje,second born waziri wa ulinzi, third born waziri wa nishati na madini hapo tumemaliza kazimmmhhhh halafu safari za nje uwe unaniacha hapa?? nipe uwaziri wa mambo ya nje......!!! mjanja sana wewe....l.o.l:alien:
Ukiwa na mke nyumbani kama Charity Ngilu au Martha Karua yaani swafi akiwa bungeni unasema kweli yes nina jembe hawa wakwetu ndani ya miaka mitano bungeni kaongea mara mbili tu.
Kama hazina mbele hadi nyuma tunajadili nini?
Ila plan zetu zisije zika feli first born tunamfanya waziri wa mambo ya nje,second born waziri wa ulinzi, third born waziri wa nishati na madini hapo tumemaliza kazi
Ila plan zetu zisije zika feli first born tunamfanya waziri wa mambo ya nje,second born waziri wa ulinzi, third born waziri wa nishati na madini hapo tumemaliza kazi