Nani yupo nyuma ya kampeni ya kumchafua Chongolo?

DAB effect.

Na bado
 
Halafu yuko kwa process ya kuwa mtakatifu.
Kambona is following,Nyerere alivyokuwa mbinafsi na mpenda madaraka.Hakusita kuua sababu ya Madaraka leo awe Mtakatifu jamani?Kwanza hata kuwa waziri mkuu wa kwanza baada ya Uhuru ni zengwe lake tu.Wazungu walitaka Chief Makwaia ndo awe waziri mkuu Nyerere akamchongea kwa kusema eti anatoka kabila kubwa. Hivyo yeye Nyerere ndo awe waziri mkuu.
 
Mwana-mfalme anayezunguka mikoani kwa punda, helcopter, misafar na aliyekwenda kuongea na mwili wa mentor wake kaburini[maana roho inacha mwili mtu anapofariki hapo hapo], na kupewa maagizo na mwili wa mentor wake kwamba yeye ndio anapaswa kuwa waziri mkuu 2025 .Hivyo anawangoa waliopo ili awe na maamuzi kamati kuu ya 2025.
 
Akihisi amechoka au amechokwa, kwa heshima anaachia ngazi tu Kwan hata hivyo ameshafanya mengi ya kutosha kwaajili ya CCM.

Hakuna sababu ya kung'ang'ana akiona kuna watu wa ccm wanamzodoa kwasababu au bila sababu.

Ni hivyo tu..
Ni mpumbavu tuu ndio ataachia ngazi.Komaa hivyo hivyo Chongolo wajisemeshe harafu tuone mwisho wake.

Ningekuwa Rais harafu ndio wapambe wamekazana ningewaambia mnajisumbua huyu simtoi.

Na ndio maana ccm Wana akili kumfanya Rais Mwenyekiti wa Chama vinginevyo wangekuwa wanambabaisha sana Kwa majungu.
 
Ni wapuuzi tuu hao,na Rais(Mwenyekiti) asipotaka Chongolo hatoki na Cha kumfanya hawana.

Keshokitwa anaeongoza Kamati hapo
 
Hizo tuhumu ni zipi? Tuzijue ili tupime
 
Wanakosea sana. Mbinu za kipumbavu kabisa. Wanadhalilsha chama sio hata Katibu Mkuu tu. Ni mwanzo wa uchafu wa kila mmoja kujulikana na wote watakosa heshima mbele ya jamii. Tukiendelea hivi kila wiki kutakuwa na picha za uchi za mmoja mmoja mpaka 2030. Tumefika point tunashindwa kumpima na kumuondoa mtu kwa kupima utendaji wake tunaenda kutafuta hawara atoe nudes? Vijana wanalipwa kusambaza nudes za viongozi? Taifa la hovyo kabisa hili tunakuwa? Bashiru alitokaje? Mangula alitokaje? Mukama alitokaje? Hawakuwa na mahawara? Si naye huyu kama mnataka atoke mtoeni tu si kwa kufanya upuuzi kama huu. Kosa sana kuwa na wahuni wenye nguvu na pesa za wizi wa kodi za wananchi kwenye chama. Shetani anaona aibu.

Stupid in Mama's voice.
 

Hakuna kitu Kama hicho. Acheni uongo.
 
Wazalendo na Watu wenye hekima na busara,tuliwaambia CCM kuwa Makonda,atakivuruga Chama kwa maana anakurupuka,huyu bwana aliwahi kumkwida Waziri Mkuu Mstaafu na Jaji wa Mahakama Kuu J.S. Warioba na alipokuwa RC Dar vurugu zake,mliziona.Tabia zile siyo watu wote wanapenda kwa maana vitendo vyake vingi vinatweza utu wa wengine na inawezekana ,anampiga Vita boss wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…