Nani yupo nyuma ya kampeni ya kumchafua Chongolo?

 
Ccm ni chama kilicho fitinika.
Yaani wauaji ndio wana pewa madaraka ndani ya chama?. Ati mtu kama Makonda ni kionvozi wa kitaifa ndani ya chama. Fitna zimeanzia hapa.
 
You must be nuts!
 
Watu hulipwa kwa kazi hiyo tu.Msaga Sumu yupo sasa
 

Anayemuhujumu Chongolo hana hata wiki mbili …..
 
Poleni
 
Ukiwa mfupi na akili inakuwa fupi...wapinzani wanaingiaje hapo
 
Na declare interest kabisa mimi ni mkatoliki;
Ana mengi machafu ambayo hata kufikia hatua hizo hakustahili.
Alifunga au kuweka watu kizuizini
Alisaini kunyongwa kwa Mwamwindi
Alitengeneza vita vya Kagera kwa personal interests
Achilia yaliyo nyuma ya pazia kama kiongozi wa kisiasa na mtawala wa kiafrika.
 

Kwani wachawi kule Giningi huwa wanaaminiana ??
 
Samia kama kuna mtu alimdanganya kumrejesha DAB kitini naona anajuta sasa hivi.
 
CCM walishafitinika miaka mingi baada ya kuacha mambo ya Mungu na kumkumbatia "yule mwovu"
ndio maana ndani ndani ya CCM kumejaa; uovu, wizi, unyanganyi, ufisadi, majungu, fitna, husuda na uchafu wote
 
Samia kama kuna mtu alimdanganya kumrejesha DAB kitini naona anajuta sasa hivi.
Ni mpango Wa MUNGU .
Kwa siasa zilizopo DAB ni MTU Muhimu sana.
Kuna siasa chafu za kundi la Mafisadi ambalo halifiki Hata 2% ya WATANZANIA wote kuamua kuhujumu wananchi na kuwaondoa watetezi wao.
Bahati NZURI DAB ndiye mtetezi Wa wanyonge aliyebaki ndani ya CCM na Mungu amemweka Kwa makusudi yake.
DAB yupo upande Wa wanyonge . Anatetea 85 % ya wananchi Wa Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…