Nani yupo nyuma ya Uhuni huu kwa Sabaya?

Nani yupo nyuma ya Uhuni huu kwa Sabaya?

Haya ni matumizi mabaya ya madaraka na hii ni sababu tuna katiba ambayo inawapa wenye madaraka kunyanyasa raia kwa kutumia vibaya madaraka waliyopewa na katiba isiyofaa.

Tungekuwa na katiba ambayo inapinga kiongozi mkuu kuwa na madaraka kiasi cha wateule wake kutumika kufanya maonevu basi leo hii tusingeshuhudia maonevu kama haya dhidi ya Sabaya.

Idugunde ni mkazi wa Igunga na Mpenda haki.
 
Jana tuliambiwa hukumu ya kesi iliahirishwa katika Mahakama ya Hakimu mkazi, Arusha...

Najaribu kuwaza nje ya box. Hizi drama haziwezi kuwa ni mazingira yanaandaliwa kumwezesha kutokea Mahakama ya rufaa?
 
Ujambazi upi ulioshindwa kuthibitishwa mahakamani?
Au ni uovu kumsababishia Mbowe kupoteza Jimbo la Hai?
Acha kupotosha wasomaji kwa mahaba Niue uliyonayo juu ya sabaya. Kuhusisha makosa yake anayotumiwa kuyatenda na uwepo wa naibu dci na Mbowe ni kuonyesha jinsi Gani ulivyo biased na obsessive na sabaya.

Kama kweli huna maslahi na sabaya ni kwanini uwataje watu wengine Tena wasiohusika na kesi za sabaya?

Acha kumchafua image za watu Kwa mahaba Yako binafsi!
 
Haya ni matumizi mabaya ya madaraka na hii ni sababu tuna katiba ambayo inawapa wenye madaraka kunyanyasa raia kwa kutumia vibaya madaraka waliyopewa na katiba isiyofaa.

Tungekuwa na katiba ambayo inapinga kiongozi mkuu kuwa na madaraka kiasi cha wateule wake kutumika kufanya maonevu basi leo hii tusingeshuhudia maonevu kama haya dhidi ya Sabaya.

Idugunde ni mkazi wa Igunga na Mpenda haki.
Hatimaye umetambua umuhimu wa katiba mpya.
Yoda
 
Haya ni matumizi mabaya ya madaraka na hii ni sababu tuna katiba ambayo inawapa wenye madaraka kunyanyasa raia kwa kutumia vibaya madaraka waliyopewa na katiba isiyofaa...
Yule Mayor wa Halmashauri ya Manispaa Moshi Juma Raibu Juma aliyefurushwa naye ndani.

IMG-20220601-WA0077.jpg
 
Watajileta mmoja mmoja na kukiri Kwa vinywa vyao kuwa walipinga kupatikana Kwa katiba mpya Kwa kukosa uelewa TU,ila wametambua Sasa kuwa ni muhimu 🤔
Unao ushahidi? Kuwa nilipinga?
 
Back
Top Bottom