Nani zaidi Bokungu au Kessy

HPAUL

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2011
Posts
410
Reaction score
567
Wadau mara Hamissy Kessy alipoondoka Simba mwishoni mwa msimu uliopita ilionekana Simba haijapata mbadala wake, Je Bokungu ameweza kuziba pengo hilo? Naomba mnijuze
 
Ameziba ila kessy alikua bora zaidi. hasa kwenye kufanya mashambulizi
 
Ukiweka ushabiki pembeni, Kessy ni imara zaidi ya Bokungu.
 
Bokungu ameonyesha ule ukomavu n anatumia uzoefu wake kuisaidia timu vizuri. Ukichezea timu kama TPMazembe n Esperence lazima utakuwa na kitu tofauti.
Hata Mwanjali pia anaisaidia sana timu kwa sasa.
Tukikosa ubingwa mwaka huu basi hatutapata tena.
 
Wadau mara Hamissy Kessy alipoondoka Simba mwishoni mwa msimu uliopita ilionekana Simba haijapata mbadala wake, Je Bokungu ameweza kuziba pengo hilo? Naomba mnijuze
Bokungu yupo vizuri sana naona siku zinavyokwenda anazidi kuwa vizuri kama mechi kati ya Uganda na Ghana alicheza vizuri sana alimkaba mtu mwenye jina lake akuonekana kabisa
 
Bokungu yupo vizuri sana naona siku zinavyokwenda anazidi kuwa vizuri kama mechi kati ya Uganda na Ghana alicheza vizuri sana alimkaba mtu mwenye jina lake akuonekana kabisa
Unamchanganya na juko
 
Naungana nanyi.. Bukungu yupo vizuri.
Bukungu ni mzuri kwenye kukaba ila anatakiwa aongeze juhudi kupandisha mashambulizi kama anavofanya Tshabalala kwa kuwa Simba inashambulia zaidi kupitia pembeni hivo viungo wa pembeni na full backs wanatakiwa kuwa na spidi kupandisha timu na kurudi haraka kukaba wanapopoteza mpira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…