OSOKONI
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 10,965
- 5,339
Huyo ni Juuk MushidBokungu yupo vizuri sana naona siku zinavyokwenda anazidi kuwa vizuri kama mechi kati ya Uganda na Ghana alicheza vizuri sana alimkaba mtu mwenye jina lake akuonekana kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo ni Juuk MushidBokungu yupo vizuri sana naona siku zinavyokwenda anazidi kuwa vizuri kama mechi kati ya Uganda na Ghana alicheza vizuri sana alimkaba mtu mwenye jina lake akuonekana kabisa
Nani zaidi ndioWadau mara Hamissy Kessy alipoondoka Simba mwishoni mwa msimu uliopita ilionekana Simba haijapata mbadala wake, Je Bokungu ameweza kuziba pengo hilo? Naomba mnijuze
mkuu acha ushabikiBokungu ni zaidi kuliko Kessy
Kwa kazi ya ubeki bukungu yuko vizuri zaidi ila kwa kupandisha timu mashambulizi kessy yuko poa
Bukungu ni mzuri kwenye kukaba ila anatakiwa aongeze juhudi kupandisha mashambulizi kama anavofanya Tshabalala kwa kuwa Simba inashambulia zaidi kupitia pembeni hivo viungo wa pembeni na full backs wanatakiwa kuwa na spidi kupandisha timu na kurudi haraka kukaba wanapopoteza mpira
Bokungu ni typical old school full back, na kessy ni typical modern full back, tatizo la kessy ni ana makosa kadhaa yanayoigjarimu timu, bokungu ishu yake hapandi mbele.
Hata yule beki aliye anguka chooni angeendelea kucheza hadi sasa HV tungesha msahau kabisa huyo Kessy was Vyura fc.
unamzungumzia Kessy wa Simba siyo? mchezaji akifanya mazoezi sana bila kucheza anakua na stamina ila kuna vitu vinapungua besides huenda kinachomkabili sasa kinamuathiri isaikolojia kiasi cha kupunguza ubora wake aliokua nao ila partly nakubaliana na weweKessy yuko vzr kuliko bukungu jaman
Haya nimeacha ila mwambie na Kessy nae aache usaliti.mkuu acha ushabiki
hapo nimekusomaHaya nimeacha ila mwambie na Kessy nae aache usaliti.
huyo Kessya acha aendelee na kesi yake pamoja na kukalia hilo benchi alilolifuata huko ,,Mbeleko fc,, kusoma hajui hata kuoana kilichompata Singano pia hakuona?nmemkumbuka sasa
Bukungu ni zaidi ya kessyBukungu ni mzuri kwenye kukaba ila anatakiwa aongeze juhudi kupandisha mashambulizi kama anavofanya Tshabalala kwa kuwa Simba inashambulia zaidi kupitia pembeni hivo viungo wa pembeni na full backs wanatakiwa kuwa na spidi kupandisha timu na kurudi haraka kukaba wanapopoteza mpira
Amemwaga pasi ngapi ndani ya 18.?Bokungu ni zaidi kuliko Kessy
Bokungu yupo vizuri sana naona siku zinavyokwenda anazidi kuwa vizuri kama mechi kati ya Uganda na Ghana alicheza vizuri sana alimkaba mtu mwenye jina lake akuonekana kabisa
Bokungu kwasasa ni mcheza ndombolo ya solo tu. Wamatopeni hamuwezi kukubaliana na Kessy kwasasa sababu kawatosa. Ingekuwa vice versa mngesema Kessy mzuri kuliko Bokungu Kabasele Yampaya Bakuba.
Vua koti la Usimba na mimi navua loti la Uyanga kwa muda kisha tujadili hili jambo kiufundi.kessy aemcheza mech ngap mpaka sasa? ili tpime ubora wake tukilinganisha na bokungu.
kessy aemcheza mech ngap mpaka sasa? ili tpime ubora wake tukilinganisha na bokungu.