Nani zaidi Bokungu au Kessy

Nani zaidi Bokungu au Kessy

Bokungu ni typical old school full back, na kessy ni typical modern full back, tatizo la kessy ni ana makosa kadhaa yanayoigjarimu timu, bokungu ishu yake hapandi mbele.
 
Wadau mara Hamissy Kessy alipoondoka Simba mwishoni mwa msimu uliopita ilionekana Simba haijapata mbadala wake, Je Bokungu ameweza kuziba pengo hilo? Naomba mnijuze
Nani zaidi ndio
 
Kwa kazi ya ubeki bukungu yuko vizuri zaidi ila kwa kupandisha timu mashambulizi kessy yuko poa
Bukungu ni mzuri kwenye kukaba ila anatakiwa aongeze juhudi kupandisha mashambulizi kama anavofanya Tshabalala kwa kuwa Simba inashambulia zaidi kupitia pembeni hivo viungo wa pembeni na full backs wanatakiwa kuwa na spidi kupandisha timu na kurudi haraka kukaba wanapopoteza mpira
Bokungu ni typical old school full back, na kessy ni typical modern full back, tatizo la kessy ni ana makosa kadhaa yanayoigjarimu timu, bokungu ishu yake hapandi mbele.
Hata yule beki aliye anguka chooni angeendelea kucheza hadi sasa HV tungesha msahau kabisa huyo Kessy was Vyura fc.

Unapolinganisha wachezaji wawili wenye nafasi moja kuna S tatu na B tatu

1. Speed
2. Skills
3. Stamina

B

1. Ball Control
2. Ball Possession
3. Ball Balancing

Tuanzie hapo maana nimeto mwanga halafu nitarudi
 
Kessy yuko vzr kuliko bukungu jaman
unamzungumzia Kessy wa Simba siyo? mchezaji akifanya mazoezi sana bila kucheza anakua na stamina ila kuna vitu vinapungua besides huenda kinachomkabili sasa kinamuathiri isaikolojia kiasi cha kupunguza ubora wake aliokua nao ila partly nakubaliana na wewe
 
Bukungu ni mzuri kwenye kukaba ila anatakiwa aongeze juhudi kupandisha mashambulizi kama anavofanya Tshabalala kwa kuwa Simba inashambulia zaidi kupitia pembeni hivo viungo wa pembeni na full backs wanatakiwa kuwa na spidi kupandisha timu na kurudi haraka kukaba wanapopoteza mpira
Bukungu ni zaidi ya kessy
Kuhusu kupandisha mashambulizi wapo tofauti sn na mifumo ya kocha pia inachangia, mfano msimu uliopita simba ilikuwa haina mawinga asilia ilikuwa inatumia viungo wengi then kwenye mashambulizi wale viungo wanaingia ndani alafu mabeki wa pembeni ndio wanapandisha mashambulizi kwa kupiga krosi
Sasa kwa msimu tuna winga asilia kichuya ambae ndio anacheza upande wa bukungu kwahiyo kichuya anampunguzia sn majukumu bukungu sababu kichuya haingii ndani kumuacha bukungu apige krosi badala yake kazi yote anafanya kichuya
Yani anachokifanya bukungu ni kukaba akishapata mpira anampa kichuya atajua la kufanya
 
Bokungu kwasasa ni mcheza ndombolo ya solo tu. Wamatopeni hamuwezi kukubaliana na Kessy kwasasa sababu kawatosa. Ingekuwa vice versa mngesema Kessy mzuri kuliko Bokungu Kabasele Yampaya Bakuba.
 
kessy aemcheza mech ngap mpaka sasa? ili tpime ubora wake tukilinganisha na bokungu.

Bokungu kwasasa ni mcheza ndombolo ya solo tu. Wamatopeni hamuwezi kukubaliana na Kessy kwasasa sababu kawatosa. Ingekuwa vice versa mngesema Kessy mzuri kuliko Bokungu Kabasele Yampaya Bakuba.
 
Bokungu ni makini na mzoefu ila kwenye kupa disha timu kessy anafanya vizuri zaidi. Ni watu wenye style mbili tofauti za uchezaji
 
kessy aemcheza mech ngap mpaka sasa? ili tpime ubora wake tukilinganisha na bokungu.
Vua koti la Usimba na mimi navua loti la Uyanga kwa muda kisha tujadili hili jambo kiufundi.
Ubora wa mchezaji hupimwa kwa takwimu za mchezo ikiwamo tacles, passing range and avarage, dribbles, interceptions by numbers. Sasa niwekee hapa hizo takwimu za Bokungu na Kessy tuone nani yupo juu ya mwengine. Tofauti na hapo ni ramli tu.
 
Back
Top Bottom