Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bokungu amekamirika,na uzoefu pia!,nasikia aliwahi chezea Tp Mazembe?
......
Bukungu ni beki mzuri zaidi ya Kessy.
Bokungu yuko vizur tena ni zaidi ya kessy.....
Naungana nanyi.. Bukungu yupo vizuri.Bokungu ni zaidi kuliko Kessy
Bokungu amekamirika,na uzoefu pia!,nasikia aliwahi chezea Tp Mazembe?
......
yupi huyo[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hata yule beki aliye anguka chooni angeendelea kucheza hadi sasa HV tungesha msahau kabisa huyo Kessy was Vyura fc.
Hamad juma ametoka coastal unionyupi huyo[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Bokungu yupo vizuri sana naona siku zinavyokwenda anazidi kuwa vizuri kama mechi kati ya Uganda na Ghana alicheza vizuri sana alimkaba mtu mwenye jina lake akuonekana kabisaWadau mara Hamissy Kessy alipoondoka Simba mwishoni mwa msimu uliopita ilionekana Simba haijapata mbadala wake, Je Bokungu ameweza kuziba pengo hilo? Naomba mnijuze
nmemkumbuka sasaHamad juma ametoka coastal union
Unamchanganya na jukoBokungu yupo vizuri sana naona siku zinavyokwenda anazidi kuwa vizuri kama mechi kati ya Uganda na Ghana alicheza vizuri sana alimkaba mtu mwenye jina lake akuonekana kabisa
Bukungu ni mzuri kwenye kukaba ila anatakiwa aongeze juhudi kupandisha mashambulizi kama anavofanya Tshabalala kwa kuwa Simba inashambulia zaidi kupitia pembeni hivo viungo wa pembeni na full backs wanatakiwa kuwa na spidi kupandisha timu na kurudi haraka kukaba wanapopoteza mpiraNaungana nanyi.. Bukungu yupo vizuri.