GuDume
JF-Expert Member
- Jan 18, 2015
- 6,651
- 14,337
Sijajua kwa umetumia vigezo gan kuamin mimi nimevaa usimba. Maana bila hivyo nawe utakuwa unapiga ramli.
Vua koti la Usimba na mimi navua loti la Uyanga kwa muda kisha tujadili hili jambo kiufundi.
Ubora wa mchezaji hupimwa kwa takwimu za mchezo ikiwamo tacles, passing range and avarage, dribbles, interceptions by numbers. Sasa niwekee hapa hizo takwimu za Bokungu na Kessy tuone nani yupo juu ya mwengine. Tofauti na hapo ni ramli tu.