Jibaba Bonge
JF-Expert Member
- May 6, 2008
- 1,246
- 402
Mkuu JB, mimi natamba kuwa nilikuwepo wakati huo na nilingia muziki wa Mbaraka Mwinshehe mwaka 1972.
Huyu bwana ni Maestro, hana mwenzake.
Vocals zake zilikuwa nyororo na poetic na solo ndo usiseme.
Maudhui ya tungo zake zilikuwa zinagusa jamii nzima.
Mkuu umenikumbusha enzi ambazo sasa hazipo kabisa, tungo zilizo tamba
" Enyi vijana silikilizeni, acheni mpenzi wa mapenzi..."
"Twawapongeza waandishi wetu"
"Expo 70"
"Hiloo oh oh ulijidai wewe mbabe sana"
"Moro yapendeza"
Na vibao vingine vingi.
Hii haina maana kuwa Jabali la muziki na Maneti hawakuwa wazuri,wakati wa Mbaraka hawa walikuwa watoto wadogo kimuziki.
Hata hivyo waliliendeleza libeneke.
Mkuu, nakubaliana nawe katika hilo. Hapa wangewekwa Maneti na Marijani. Hawa wanaweza kuwekwa pamoja kwenye mizani. Lakini Mbaraka saizi yake ni akina Kilaza, Michael Enock, Wema Abdallah na wengine wa enzi hizo. Na kwa hao wooooooooote, hamna wa kumpiku Mbaraka.Mkuu JB, mimi natamba kuwa nilikuwepo wakati huo na nilingia muziki wa Mbaraka Mwinshehe mwaka 1972.
Huyu bwana ni Maestro, hana mwenzake.
Vocals zake zilikuwa nyororo na poetic na solo ndo usiseme.
Maudhui ya tungo zake zilikuwa zinagusa jamii nzima.
Mkuu umenikumbusha enzi ambazo sasa hazipo kabisa, tungo zilizo tamba
" Enyi vijana silikilizeni, acheni mpenzi wa mapenzi..."
"Twawapongeza waandishi wetu"
"Expo 70"
"Hiloo oh oh ulijidai wewe mbabe sana"
"Moro yapendeza"
Na vibao vingine vingi.
Hii haina maana kuwa Jabali la muziki na Maneti hawakuwa wazuri,wakati wa Mbaraka hawa walikuwa watoto wadogo kimuziki.Hata hivyo waliliendeleza libeneke.
Mkuu JB, mimi natamba kuwa nilikuwepo wakati huo na nilingia muziki wa Mbaraka Mwinshehe mwaka 1972.
Huyu bwana ni Maestro, hana mwenzake.
Vocals zake zilikuwa nyororo na poetic na solo ndo usiseme.
Maudhui ya tungo zake zilikuwa zinagusa jamii nzima.
Mkuu umenikumbusha enzi ambazo sasa hazipo kabisa, tungo zilizo tamba
" Enyi vijana silikilizeni, acheni mpenzi wa mapenzi..."
"Twawapongeza waandishi wetu"
"Expo 70"
"Hiloo oh oh ulijidai wewe mbabe sana"
"Moro yapendeza"
Na vibao vingine vingi.
Hii haina maana kuwa Jabali la muziki na Maneti hawakuwa wazuri,wakati wa Mbaraka hawa walikuwa watoto wadogo kimuziki.
Hata hivyo waliliendeleza libeneke.
Marijani Rajabu ni mkali ile mbaya. Hakuna wa kumkamata. Haijapata kutokea na sijui kama itakuja kutokea akapatikana mkali zaidi yake.
kwanini?Marijani