Mnaotaka kuingiwa kwa Binti Manogi blog ipo kwenye matengenezo... wakimaliza mtaingia kana una OOT ipost hapa hapa maaba kule milango imefungwa kwa Mudq
Basi ni shidaaa kule kuna maubuyuu balaaaa ,yaan wenye kuuliza mafile ya wanaume duuu mpaka Sinta alikataaa wasiwe wanataja majinaaa
Mi kule nasomaga comments tu.. nasubiri zifike hata 100 Ndio naingia. Huwa sikoment kuna vichwa vimepinda mle
Hata Wema kazaa sana tu ila hakutaka kulea.
Si alitangaza mwenyewe kipindi kile anavishwa pete kua ana mimba ya domo?
Zari ana watoto,wema hana,wote wanategemea ma Bwana,Zari anasubiri apewe child support na Ivan,Wema nae anasubiri pesa kutoka kwa mapedeshee,wote wale wale,Ila Diamond asubiri kufilisika maana Zari ni hatariii
Tuache utani, are you serious?aliyekwambia wema ajatotoa nani?.....wema ana mtoto anaitwa vanilla.......
Mnaotaka kuingiwa kwa Binti Manogi blog ipo kwenye matengenezo... wakimaliza mtaingia kana una OOT ipost hapa hapa maaba kule milango imefungwa kwa Mudq
Blogu au kwa kiingereza Blog
Yaan unalinganisha Wema na Zariii, ,,,hebu tafuta mwingine tulinganishe na Zari banaaa
Hii ndio List kamili ya Zari ndani ya muda mfupi, je inaendana na List ya Wema?
View attachment 201278
Zari and Farouk
View attachment 201280
Zari and Ivan
View attachment 201282
Zari and Lugudde
View attachment 201283
Zari and Dimondi
Je unaijua list ya Wema? Waweza kutujuza?
Angalia mtoto wa ukwe'he huyu.
I love Wema Sepetu.....
Huyu mganda mwache arudi kwao.. eti ataimisi Bongo si aseme tu atamis dudu ya Diamond