Nani Zaidi: Member Wakongwe Vs Member Wachanga.

hao WOTE wa juu walibadili I'd zao nao naona wamepatwa na MMU na chit chat
 
Ngoja sisi wageni taratibu tuanze kupokea mikoba ya wahenga

kwa mbali tunachukua ujuzi
 
Members wapya wengi wana mada za kipuuzi puuzi ambazo kwa kiasi kikubwa mada zao zinashusha hadhi ya JF.
Naunga mkono hoja, kiukweli ukiangalia maendeleo ya jf katika thread, za zamani zilikuwa more constructive than hizi za kipindi hiki.
 
Vya kale ni dhahabu.
 
Kweli kabisa, kuna kipindi nilikuwa nakesha hadi asubuhi kufatilia mjadara jf. Na hasa mijadara ya j.intel au uchumi, lakini siku hizi hakuna mijadara ambayo utasema ufatilie. Content za jf zimeshuka sana limekuwa jukwaa la kupotezea mda tu na sio kupata elimu. Ndo mana majukwaa yanayoongoza jf. Ni chit chat na MMU, kwa mada za Zero iq, money penny, katoto kazuri
na siasa za Ndege John.
 
JF ya zaman ilikuwa ndo yenyewe full freedom japokuwa nilikuwa natazama kwa nje tu ilikuwa moto ni atari, imeanza kubadilika baada ya kuingia jiwe madalakani, apo wengi wakaanza kuogopa kuchangai na mod kufunga baadhi ya threads so, kwa kiasi fulani iv hakuna uhuru ndo maana baadhi ya member wanaona bora, kuandika pumba ili maisha ya songe mbele, JF ya ywaka hiyo iliyopita viongozi wa selikari wanakuja kujitetea humu kutoka na mada kuwa koki ina gusa hata masilai yao, akibisha tu ushahidi unapatika chapu, MEMBER WA ZAMANI WALIKUWA FIRE KULIKO SAIV
 
member wapya wengi ukiandika vitu kuntu wanaishia kukutukana πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
 
Hahahaaa
 
Mi mbona wa kitambo sana ila id mpya inasoma 2018
 
Mie huku nililetwa na Nova Makunga akiwa reporter wa ITV Arusha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…