Nani Zaidi: Member Wakongwe Vs Member Wachanga.

Mimi niseme tu bila kumung'unya ".... nikweli JF ya sasa ina mapungufu makubwa sana", haswaa kwenye mada ambazo ni fikirishi'.... JF imepoteza watu Makini wenye michango tija" ambayo inaweza kukufanya uvute kiti uanze kuifuatilia mpaka usahau hata kula"....

Mfano mdogo(mzuri), siku hizi majukwaa yanayoiendesha JF ni chit chat na MMU " wakati zamani haikuwa hivyo"...., ilikuwa nilazima kwanza upitie kwenye majukwaa haya"... JUKWAA LA SIASA. JUKWAA LA INTELLIGENCE " JUKWAA LA BIASHARA".. NA INTERNATIONAL FORUM".. kisha baadae ndio unakuja kutuliza akili kwa kutembelea hayo majukwaa mengine"..., na hayo majukwaa mengine ulikuwa ukienda unakutana na mada moto moto"...,JF imepoteza watu Kama Deception mnepha lara 1 newton Einstein "... na wengine wengi ambao kichwani walikuwa na material adimu kabisa " yakukufanya ujione kuwa wewe ni kilaza unayepaswa kujifunza toka kwao"....,

huu ni wakati sahihi sasa" wasisi kujitathmini upya ili tuone tunatakiwa kufanya nini ili kuirejesha heshima ya JF mahala pake"..... zamani hata mods walikuwa wanaanzisha thread au wanachangia mada', kwa sababu walikuwa wanapatwa na ushawishi unaosukumwa na ubora wa topic zilizokuwa zinaletwa" Jf lakini siku hizi hauwezi kukutana na hiyo kitu".... nachelea kusema hata GENTAMYCINE yule wa miaka miwili nyuma sio huyu wa leo (hahaaa naomba unisamehe wewe mtutsi) ....

Japo kuwa ukweli huwa mchungu" lakini tuwe na desturi ya kuumeza tu" maana ndio tiba ya kujitathmini

nawasilisha
hao WOTE wa juu walibadili I'd zao nao naona wamepatwa na MMU na chit chat
 
Ngoja sisi wageni taratibu tuanze kupokea mikoba ya wahenga

kwa mbali tunachukua ujuzi
 
Members wapya wengi wana mada za kipuuzi puuzi ambazo kwa kiasi kikubwa mada zao zinashusha hadhi ya JF.
Naunga mkono hoja, kiukweli ukiangalia maendeleo ya jf katika thread, za zamani zilikuwa more constructive than hizi za kipindi hiki.
 
Wakongwe ndo mambo yote kwanza hata mada zao zimeenda shule ni tofauti na wapya kila kukicha ni kuomba msaada tuu mara eti nakawia kufika kileleni.. mara nashindwa kumtongoza mara nifanyeje nimtoe bikra yake yaani utoto mwingi tena ukiona uzi wa wakongwe hakunabhata mpya hata mmoja anacoment ya maana zaidi ya kuponda
Vya kale ni dhahabu.
 
Mimi niseme tu bila kumung'unya ".... nikweli JF ya sasa ina mapungufu makubwa sana", haswaa kwenye mada ambazo ni fikirishi'.... JF imepoteza watu Makini wenye michango tija" ambayo inaweza kukufanya uvute kiti uanze kuifuatilia mpaka usahau hata kula"....

Mfano mdogo(mzuri), siku hizi majukwaa yanayoiendesha JF ni chit chat na MMU " wakati zamani haikuwa hivyo"...., ilikuwa nilazima kwanza upitie kwenye majukwaa haya"... JUKWAA LA SIASA. JUKWAA LA INTELLIGENCE " JUKWAA LA BIASHARA".. NA INTERNATIONAL FORUM".. kisha baadae ndio unakuja kutuliza akili kwa kutembelea hayo majukwaa mengine"..., na hayo majukwaa mengine ulikuwa ukienda unakutana na mada moto moto"...,JF imepoteza watu Kama Deception mnepha lara 1 newton Einstein "... na wengine wengi ambao kichwani walikuwa na material adimu kabisa " yakukufanya ujione kuwa wewe ni kilaza unayepaswa kujifunza toka kwao"....,

huu ni wakati sahihi sasa" wasisi kujitathmini upya ili tuone tunatakiwa kufanya nini ili kuirejesha heshima ya JF mahala pake"..... zamani hata mods walikuwa wanaanzisha thread au wanachangia mada', kwa sababu walikuwa wanapatwa na ushawishi unaosukumwa na ubora wa topic zilizokuwa zinaletwa" Jf lakini siku hizi hauwezi kukutana na hiyo kitu".... nachelea kusema hata GENTAMYCINE yule wa miaka miwili nyuma sio huyu wa leo (hahaaa naomba unisamehe wewe mtutsi) ....

Japo kuwa ukweli huwa mchungu" lakini tuwe na desturi ya kuumeza tu" maana ndio tiba ya kujitathmini

nawasilisha
Kweli kabisa, kuna kipindi nilikuwa nakesha hadi asubuhi kufatilia mjadara jf. Na hasa mijadara ya j.intel au uchumi, lakini siku hizi hakuna mijadara ambayo utasema ufatilie. Content za jf zimeshuka sana limekuwa jukwaa la kupotezea mda tu na sio kupata elimu. Ndo mana majukwaa yanayoongoza jf. Ni chit chat na MMU, kwa mada za Zero iq, money penny, katoto kazuri
na siasa za Ndege John.
 
JF ya zaman ilikuwa ndo yenyewe full freedom japokuwa nilikuwa natazama kwa nje tu ilikuwa moto ni atari, imeanza kubadilika baada ya kuingia jiwe madalakani, apo wengi wakaanza kuogopa kuchangai na mod kufunga baadhi ya threads so, kwa kiasi fulani iv hakuna uhuru ndo maana baadhi ya member wanaona bora, kuandika pumba ili maisha ya songe mbele, JF ya ywaka hiyo iliyopita viongozi wa selikari wanakuja kujitetea humu kutoka na mada kuwa koki ina gusa hata masilai yao, akibisha tu ushahidi unapatika chapu, MEMBER WA ZAMANI WALIKUWA FIRE KULIKO SAIV
 
member wapya wengi ukiandika vitu kuntu wanaishia kukutukana 😀 😀 😀 😀 😀
 
Hahahaaa
-Kwangu Members wakongwe nawachukulia waliojiunga 2006 mpaka 2007 hawa ndio wakongwe kweli.
-2008 mpaka 2009 hawa waliletwa na MVUMO wa ZeUTAMU.
-2010 Hawa waliletwa na MVUMO wa UCHAGUZI wa Dr Slaa.
2011-2014 Hapa waliletwa na mileage ya JF kuanza kukiki kitaani
-2015 hapa MAFURIKO yalisepa na KIJIJI kama CHOTE.
-2016 - 2018 HAWA NDIO WAPYA aka DR SHIKAZ aka NABII TITOZ TYPES
 
Mi mbona wa kitambo sana ila id mpya inasoma 2018
 
-Kwangu Members wakongwe nawachukulia waliojiunga 2006 mpaka 2007 hawa ndio wakongwe kweli.
-2008 mpaka 2009 hawa waliletwa na MVUMO wa ZeUTAMU.
-2010 Hawa waliletwa na MVUMO wa UCHAGUZI wa Dr Slaa.
2011-2014 Hapa waliletwa na mileage ya JF kuanza kukiki kitaani
-2015 hapa MAFURIKO yalisepa na KIJIJI kama CHOTE.
-2016 - 2018 HAWA NDIO WAPYA aka DR SHIKAZ aka NABII TITOZ TYPES
Mie huku nililetwa na Nova Makunga akiwa reporter wa ITV Arusha
 
Back
Top Bottom