Mimi niseme tu bila kumung'unya ".... nikweli JF ya sasa ina mapungufu makubwa sana", haswaa kwenye mada ambazo ni fikirishi'.... JF imepoteza watu Makini wenye michango tija" ambayo inaweza kukufanya uvute kiti uanze kuifuatilia mpaka usahau hata kula"....
Mfano mdogo(mzuri), siku hizi majukwaa yanayoiendesha JF ni chit chat na MMU " wakati zamani haikuwa hivyo"...., ilikuwa nilazima kwanza upitie kwenye majukwaa haya"... JUKWAA LA SIASA. JUKWAA LA INTELLIGENCE " JUKWAA LA BIASHARA".. NA INTERNATIONAL FORUM".. kisha baadae ndio unakuja kutuliza akili kwa kutembelea hayo majukwaa mengine"..., na hayo majukwaa mengine ulikuwa ukienda unakutana na mada moto moto"...,JF imepoteza watu Kama
Deception mnepha lara 1 newton Einstein "... na wengine wengi ambao kichwani walikuwa na material adimu kabisa " yakukufanya ujione kuwa wewe ni kilaza unayepaswa kujifunza toka kwao"....,
huu ni wakati sahihi sasa" wasisi kujitathmini upya ili tuone tunatakiwa kufanya nini ili kuirejesha heshima ya JF mahala pake"..... zamani hata mods walikuwa wanaanzisha thread au wanachangia mada', kwa sababu walikuwa wanapatwa na ushawishi unaosukumwa na ubora wa topic zilizokuwa zinaletwa" Jf lakini siku hizi hauwezi kukutana na hiyo kitu".... nachelea kusema hata
GENTAMYCINE yule wa miaka miwili nyuma sio huyu wa leo (hahaaa naomba unisamehe wewe mtutsi) ....
Japo kuwa ukweli huwa mchungu" lakini tuwe na desturi ya kuumeza tu" maana ndio tiba ya kujitathmini
nawasilisha