NANI ZAIDI: Nilikuwa na Mashaka na Simba kumbe ni kweli wanatumia fumbate

NANI ZAIDI: Nilikuwa na Mashaka na Simba kumbe ni kweli wanatumia fumbate

michango ya ujenzi wa uwanja ilianza pasi na ushindani,apakua na msukumo wa ushindani ni kutoa tu kwa hiari ndo maana machango ikawa kidogo.

Kwamba una maanisha mashabiki wa SIMBA SC hawakuwa na msukumo wa kuchangia ujenzi wa uwanja ambao ungewafanya kuwa na uwanja wa kisasa zaidi kusinda YANGA SC...?
 
Mechi za kimataifa Simba ni kinara wa kujaza uwanja wa Mkapa,

Msimu ulio pita YANGA SC iliongoza kwa gate collection.

Ikimaanisha mechi zao zilijaza spectators wengi zaidi kuliko mechi za Simba SC.

Labda mwenzangu unamaanisha mashabiki wa Dar pekee, ila YANGA SC ina mashabiki country-wide.
 
Kwamba una maanisha mashabiki wa SIMBA SC hawakuwa na msukumo wa kuchangia ujenzi wa uwanja ambao ungewafanya kuwa na uwanja wa kisasa zaidi kusinda YANGA SC...?
kuchangia uwanja ni swala endelevu mtu anajipa imani ntatoa tu siku yoyote ila michango ya nani zaidi ni program ya muda mfupi iliyo anzishwa na Azam media.
 
Unakuta mudi anatoa laki moja kila siku anaiweka anajua inarudi tu.sasa itaenda wapi?

Hongereni simba kwa kuwa mabingwa wa ligi kuu..!
 
Mleta mada naomba nikukumbushe Tu mambo kadhaa kuhusu Simba

1.Simba ndy club yenye vibe mtandaoni kuliko club yoyote kusini mwa jangwa la Sahara,na linapokuja swala km Hilo linakuwa km kumsukuma mlevi tu Kwa mashabiki wa simba

2.kwenye mitandao ya kijamii Simba imemwacha mbali sn yanga Kwa followers
Simba 934,000 wakati yanga 192,000(Twitter pekee)
Umejifunza nini hapa kuhusu hili linaloendelea?

3.Siku kadhaa nsemaji wenu white aliwahi kukiri kwamba Simba imemwacha mbali sn yanga kwenye hamasa za mtandaoni.Huoni hili Kwa Simba ni km kumwambia mtoto avunje biskuti?

4.Point yangu ya mwisho ni hii;Umesema kwamba huko nyuma Simba ilichangisha mil 60 Tu lkn umesahau kwamba wakati ule ilikuwa haishindani na yeyote lkn Simba linapokuja swala la kushindana,mashabiki wa Simba ni km wanakuwa vichaa Kwa kuisapoti timu Yao
Yanga ni timu ndogo sana ila nimegundua ina ndoto za kukua ila mbinu iliyojichagulia siioni kama italeta matunda

Mbinu ya kutumia kuji compare na Simba ili kimataifa kila wanapoiongelea Simba wawe na concept kuwa kuna timu nyingine shindani inaitwa Yanga na waanze kuifatilia

Na ndio maana manara kila siku anapost kuiongelea Simba anasahau kuwa anatupigia kampeni indirectly bila kujua
 
Mambo ya kuzidiana followers mtandaoni sio kipimo cha kuaminika cha timu kuwa na mashabiki wengi , uwezo nk mfano Diamond kamzidi Burna boy , Wizkidayo pamoja nawasanii wengine wakubwa kwa subscribers youtube lakini wakina Burna wanajua shows viwanja vikubwa na kuchukua tuzo kubwa kubwa na kumpiga group kubwa Diamond japo yeye ni King kwenye mitandao ya kijamii.
 
Timu kubwa lazima uwe na folowers wengi kwakuwa watu watakuwa wanakufatilia kwa kila jambo ukiona timu yako inapitwa kwa follower s ujue timu yako ndogo sana na ya kawaida hata ulaya anaanza Madrid Barcelona man u hizo ndio timu kubwa zenye mashabiki wengi
 
Kwa hiyo madrid yenye followers 120M kuna uwezekano ikawa imezidiwa mashabiki na ihefu kwasababu kuna chance kubwa ya mashabiki wa ihefu kutokuwa fascinated na mitandao ya kijamii?
 
Inasikitisha sana kama mtu unathibitisha kuwa ulitumia akili kuwaza na sasa unathibitisha kwa asilimia 100 kuwa ulichofikiria ni sahihi! Ifike mahali mtu ukianzisha uzi na kutuaminisha kwamba umefikiria basi ubongo wa unazi hasa wa timu weka pembeni halafu ndio ulete huo uzi! Mfano wako wa milioni 60 kwa miezi sita na milioni 100 kuwa ndio kigezo basi naamini hujatumia kichwa chako sawa sawa! Hapa mchuano ni nani zaidi kati ya simba na Yanga! Ukishaelewa hilo utajua kwann simba wapo juu! Ilee Yanga ilikufa tatu kwa kagera ila ilipocheza na simba hali ilikuwa tofauti! Linapokuja swala la SIMBA na YANGA! Mambo huwa ni tofauti
 
Timu kubwa lazima uwe na folowers wengi kwakuwa watu watakuwa wanakufatilia kwa kila jambo ukiona timu yako inapitwa kwa follower s ujue timu yako ndogo sana na ya kawaida hata ulaya anaanza Madrid Barcelona man u hizo ndio timu kubwa zenye mashabiki wengi
Whydad ina follower 1m, etoil du sahel ina followers 100k, Es tunis ina followers 397k kwenye mtandao wa Instagram. Je hizo timu ni ndogo na za kawaida?

Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
 
Mleta mada naomba nikukumbushe Tu mambo kadhaa kuhusu Simba

1.Simba ndy club yenye vibe mtandaoni kuliko club yoyote kusini mwa jangwa la Sahara,na linapokuja swala km Hilo linakuwa km kumsukuma mlevi tu Kwa mashabiki wa simba

Kwanini hamkusukuma mlevi kwenye mchango wa Ujenzi wa Uwanja..hadi mmkakusanya mil 60 ndani ya miezi 3...?
 
Mleta mada naomba nikukumbushe Tu mambo ka

4.Point yangu ya mwisho ni hii;Umesema kwamba huko nyuma Simba ilichangisha mil 60 Tu lkn umesahau kwamba wakati ule ilikuwa haishindani na yeyote lkn Simba linapokuja swala la kushindana,mashabiki wa Simba ni km wanakuwa vichaa Kwa kuisapoti timu Yao

Kwa hiyo hamkuwa mkishindana na YANGA SC kwenye eneo la nani atakuwa wa kwanza kumiliki uwanja wa kisasa?
 
3.Siku kadhaa nsemaji wenu white aliwahi kukiri kwamba Simba imemwacha mbali sn yanga kwenye hamasa za mtandaoni.Huoni hili Kwa Simba ni km kumwambia mtoto avunje biskuti?

Kipi kipimo kilichotumika kuipima HAMASA hata ukaamini SIMBA SC ina hamasa kubwa mitandaoni kuliko YANGA SC..

Tungependa kujua hiko kipimo..
 
Ukienda katika followership ya timu hizi katika Social Media Simba wana followers mara mbili au zaidi katika kila mtandao. Simba Facebook wana followers 1M Yanga wana laki 5, Instagram Simba wana followers 3.8M Yanga wana 1.9M unashangaa nini kwamba Simba imeizidi Yanga mapato two times wakati hata followership mitandao Simba wanawazidi Yanga two times?

Inawezekana Yanga walipata peaa hizo 1B ( kama ni kweli maana sote twajua Manara ni mwongo mkubwa) ila kupata hizo pesa stratergy yake wala haihusiani na Uchangiaji huu.

Bado niko pale pale uwingi wa followers kwenye mitandao ya kijamii HAU-AKISI wingi halisi wa MASHABIKI.

Kama ingekuwa UWINGI wa followers una AKISIKA katika kupima idadi ya MASHABIKI...YANGA SC asingeongoza kwa idadi ya mapato ya getini msimu 2020/21.
 
Back
Top Bottom