William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,400
SIO KWELI KAKA!album yenyewe imeshachuja,sijui huko kwako.kwa sasa inapigwa maharusini tu
..NA KWENYE MA JUKE-BOX YA BAA
- Ndio maana ya kutochuja, juke-box za majuu zimejaa Elvis.
FMES!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SIO KWELI KAKA!album yenyewe imeshachuja,sijui huko kwako.kwa sasa inapigwa maharusini tu
..NA KWENYE MA JUKE-BOX YA BAA
Mkuu Masa......mmhhh!
Yaya maneno hapo juu unauhakika nayo ndugu yangu? Mimi sibishii wala si support kwasasa coz sina ushahidi wowote na sipo karibu na hawa watu!
ART ni nini tena Masa?
Bro umetoka bongo muda mrefu nini? Hii iko wazi mkuu ulizia maisha yake ya kindoa, ART ni dawa za kupunguza makali ya hili gonjwa la kisasa....nina uhakika 100% nilichoandika. Sina sababu ya kumharibia jina!
Peace
Hahahahaha mkuu sina mbavu eti wanasema alikuwa barmed ni kweli?
Naomba unithibitishie na hili pia.
Oyaaah....ngoja tuache private life yake!! Nyimbo anazoimba vizuri hazionyeshi mfano wa maisha yake yeye kama mkristo mzuri wa maadili....ulizia songombingo na mumewe!
- Ndio maana ya kutochuja, juke-box za majuu zimejaa Elvis.
FMES!
Bro umetoka bongo muda mrefu nini? Hii iko wazi mkuu ulizia maisha yake ya kindoa, ART ni dawa za kupunguza makali ya hili gonjwa la kisasa....nina uhakika 100% nilichoandika. Sina sababu ya kumharibia jina!
Peace
Samahani Mkuu, sijapenda hayo maneno 'Mlevi wa WANAWAKE'. Huwa sipendi neno mwanamke/wanawake linapotumika kama kashfa au tusi. Nadhani ungesema 'Mlevi wa Ngono'. Najua kuna ukweli kwenye usemi wako lakini ninaposikia 'mwanamke/wanawake' kwa namna ya kashfa napata ukakasi.HIYO SI SAHIHI KAKA!
muziki wa injili,hauwezi kupigwa kasino,au danguro,au baa KUMSTAREHESHA MLEVI WA wanawake,pombe au gumbling.
halafu field marshell,USILETE UZUNGU KWENYE MAISHA HALISI YA MUAFRIKA,au specifically mtanzania.si kweli kwamba kwa vile sijui majuu wanapiga elvis na wewe unadesa!
UNAKOSEA SANA!kwa namna ninavyozisoma threads zako,SIKUWAHI KUTEGEMEA UNAWEZA KUWA NA MTIZAMO KAMA HUU.
HIYO SI SAHIHI KAKA!
muziki wa injili,hauwezi kupigwa kasino,au danguro,au baa KUMSTAREHESHA MLEVI WA wanawake,pombe au gumbling.
Yameisha my dear! That's the meaning of being a "Great Thinker".SORRY DEAR!I never meant to hurt anybody.
SORRY IN ADVANCE
HIYO SI SAHIHI KAKA!
muziki wa injili,hauwezi kupigwa kasino,au danguro,au baa KUMSTAREHESHA MLEVI WA wanawake,pombe au gumbling.
halafu field marshell,USILETE UZUNGU KWENYE MAISHA HALISI YA MUAFRIKA,au specifically mtanzania.si kweli kwamba kwa vile sijui majuu wanapiga elvis na wewe unadesa!
UNAKOSEA SANA!kwa namna ninavyozisoma threads zako,SIKUWAHI KUTEGEMEA UNAWEZA KUWA NA MTIZAMO KAMA HUU.
- Naona mkuu una ya personal, lakini Mkuu Fidel amekusaidia sana, maana anayeleta uzugnu ni nani hasa? Kuweka muziki wa dini kama wa Rose kwenye juke box za kwenye bar ndio uswahili huo? Kama una beef zako za siasa kazimalizie kule usilete huku kuharibu mijadala ya watu, bwa! ha! ah! Haya turudi kwenye mada Rose na Bahati nani zaidi?
Mimi nasema Rose zaidi na wewe sema nani zaidi? Hatuhitaji taarabu, kama unataka kuniongelea fungua thread ya FMES.
FMES
Mods please fungia huyu.......Rose Mhando ni mtumiaji mzuri wa Msuba...jani
Mods please fungia huyu.......
.....Bahati Bukuku ni beautiful/mzuri zaidi ya Rose mhando......