Nani zaidi: Rose Muhando vs Bahati Bukuku?

Mkuu Masa......mmhhh!

Yaya maneno hapo juu unauhakika nayo ndugu yangu? Mimi sibishii wala si support kwasasa coz sina ushahidi wowote na sipo karibu na hawa watu!

ART ni nini tena Masa?

Bro umetoka bongo muda mrefu nini? Hii iko wazi mkuu ulizia maisha yake ya kindoa, ART ni dawa za kupunguza makali ya hili gonjwa la kisasa....nina uhakika 100% nilichoandika. Sina sababu ya kumharibia jina!

Peace
 
Hahahahaha mkuu sina mbavu eti wanasema alikuwa barmed ni kweli?
Naomba unithibitishie na hili pia.
 
Oyaaah....ngoja tuache private life yake!! Nyimbo anazoimba vizuri hazionyeshi mfano wa maisha yake yeye kama mkristo mzuri wa maadili....ulizia songombingo na mumewe!
 
Powa nitakuulizia private lakini si alimtosa?
 
- Ndio maana ya kutochuja, juke-box za majuu zimejaa Elvis.

FMES!

HIYO SI SAHIHI KAKA!

muziki wa injili,hauwezi kupigwa kasino,au danguro,au baa KUMSTAREHESHA MLEVI WA wanawake,pombe au gumbling.

halafu field marshell,USILETE UZUNGU KWENYE MAISHA HALISI YA MUAFRIKA,au specifically mtanzania.si kweli kwamba kwa vile sijui majuu wanapiga elvis na wewe unadesa!

UNAKOSEA SANA!kwa namna ninavyozisoma threads zako,SIKUWAHI KUTEGEMEA UNAWEZA KUWA NA MTIZAMO KAMA HUU.
 
Namkubali Rose Mhando kwa % nyingi. Tukizungumzia history ya muziki wa injili hapa Tz, lazima kwanza tutamwongelea Rose Muhando, then wengine wanafuata. Mbona nyimbo za Mhando zina meseji kali sana, ebu tuwe fair, ile video ya wimbo inayoonyesha mwanaume mnyanyasaji jamani ile siyo meseji tosha? Mimi namkubali
 
Bro umetoka bongo muda mrefu nini? Hii iko wazi mkuu ulizia maisha yake ya kindoa, ART ni dawa za kupunguza makali ya hili gonjwa la kisasa....nina uhakika 100% nilichoandika. Sina sababu ya kumharibia jina!

Peace

Anyway sitaki ligi hapa, lakini mkuu yaani unauhakika pia 100% kuwa RM anatumia ''majani'' na kwamba anapepo la ngono na analitumikia pia? Kuhusu BB kuwa kny hako kama mpango kuurudishia mwili nguvu sina ubishi sana kwa sababu ni wengi siku hizi wako kny utaratibu huo!
 
HIYO SI SAHIHI KAKA!

muziki wa injili,hauwezi kupigwa kasino,au danguro,au baa KUMSTAREHESHA MLEVI WA wanawake,pombe au gumbling.

halafu field marshell,USILETE UZUNGU KWENYE MAISHA HALISI YA MUAFRIKA,au specifically mtanzania.si kweli kwamba kwa vile sijui majuu wanapiga elvis na wewe unadesa!

UNAKOSEA SANA!kwa namna ninavyozisoma threads zako,SIKUWAHI KUTEGEMEA UNAWEZA KUWA NA MTIZAMO KAMA HUU.
Samahani Mkuu, sijapenda hayo maneno 'Mlevi wa WANAWAKE'. Huwa sipendi neno mwanamke/wanawake linapotumika kama kashfa au tusi. Nadhani ungesema 'Mlevi wa Ngono'. Najua kuna ukweli kwenye usemi wako lakini ninaposikia 'mwanamke/wanawake' kwa namna ya kashfa napata ukakasi.
Heshima kwa Wanawake!
Ni muono wangu tu.
 
Mimi sijui sana habari za kwaya ,lakin Bahati Bukuku,ana mguso mkubwa
 
HIYO SI SAHIHI KAKA!

muziki wa injili,hauwezi kupigwa kasino,au danguro,au baa KUMSTAREHESHA MLEVI WA wanawake,pombe au gumbling.

Mkuu na wewe hapa umekosea.
Mbona nyimbo za dini kama huu wa Rose Muhando wa nibebe tunasikia sana kwenye Bar alafu na huu wa jamaa yule Bonn wa Utanitambuaje kama nimeokoka ,,,,,,matendo na huu nao unatuliwaza sana kwenye mabar kibao wanapiga.
Unajua mdundo wa nyimbo za injili umepitiliza umekuwa kama wa kibolingo au ndomboroo ndo maana hushangai hata kwenye mabar unapigwa hata cheza yao.
 
HIYO SI SAHIHI KAKA!

muziki wa injili,hauwezi kupigwa kasino,au danguro,au baa KUMSTAREHESHA MLEVI WA wanawake,pombe au gumbling.

halafu field marshell,USILETE UZUNGU KWENYE MAISHA HALISI YA MUAFRIKA,au specifically mtanzania.si kweli kwamba kwa vile sijui majuu wanapiga elvis na wewe unadesa!

UNAKOSEA SANA!kwa namna ninavyozisoma threads zako,SIKUWAHI KUTEGEMEA UNAWEZA KUWA NA MTIZAMO KAMA HUU.

- Naona mkuu una ya personal, lakini Mkuu Fidel amekusaidia sana, maana anayeleta uzugnu ni nani hasa? Kuweka muziki wa dini kama wa Rose kwenye juke box za kwenye bar ndio uswahili huo? Kama una beef zako za siasa kazimalizie kule usilete huku kuharibu mijadala ya watu, bwa! ha! ah! Haya turudi kwenye mada Rose na Bahati nani zaidi?

Mimi nasema Rose zaidi na wewe sema nani zaidi? Hatuhitaji taarabu, kama unataka kuniongelea fungua thread ya FMES.

FMES
 
Bwa ha! ha! ha!
Mkuu umeniacha hoi mnahama mada sasa na kuingia kwenye jukwaa la siasa.
Hapa mkuu Rose zaidi Rose anauwezo wakujaza Diamond lakini huyu Bahati hata apige bure pale sidhani kama atajaza watu.Hili lipo wazi.
 
SIMPLE QUESTION. zaidi ni Ama Bahati Muhando au Rose Bukuku.

Have a nice and Lovely LONG WEEK END.
 
Masanilo siyo vizuri , sasa unasema antumia ARV ili iweje kwani hicho ni kitu cha kushangaza au yeye ni wa kwanza kwamba ni maajabu unawaambia watu halafu unasema ana mapungufu yake ,kutumia ARV ni mapungufu acha hizo, kwani yeye alipenda? hizo habari zako za kidaku peleka zeutamu.yumeongelea nani zaidi kimuziki basi
 
Mods please fungia huyu.......

.....Bahati Bukuku ni beautiful/mzuri zaidi ya Rose mhando......

Beautiful in what sense? tena umeweka na msisitizo wa swanglish kabisa!..

Wote wa vipaji vya kuimba na kuhubiri neno la Mungu kwa nyimbo zao ila ukipenda zaidi burudani ya kucheza wimbo, Rose Mhando kama albamu yake moja ya kitimtim basi zinachezeka vizuri sana.
 
Back
Top Bottom