Nani zaidi? Simba vs Yanga thread

Nani zaidi? Simba vs Yanga thread

Utopolo hawanaga washabiki.. kelele tu
Ishu sio mashabiki hapo bali ni wenye moyo wa utoaji. Hili ni sawasawa na wakristo na waislam, wakristo inapofikia swala la harambee ya kuchangia basi huchangia mizigo ya maana na pesa nyingi hukusanywa lakini upnde wa waislam wana mioyo migumu sana ya utoaji yaani mtu ataenda msikitini atatafuta hata chenchi ili apate sarafu sarafu ya kwenda kutoa sadaka au buku buku.

Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
 
Tuwe na tabia ya kuchanga ili hata timu ikikosa Mfadhili iweze kujiendesha.
 
Ishu sio mashabiki hapo bali ni wenye moyo wa utoaji. Hili ni sawasawa na wakristo na waislam, wakristo inapofikia swala la harambee ya kuchangia basi huchangia mizigo ya maana na pesa nyingi hukusanywa lakini upnde wa waislam wana mioyo migumu sana ya utoaji yaani mtu ataenda msikitini atatafuta hata chenchi ili apate sarafu sarafu ya kwenda kutoa sadaka au buku buku.

Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
Waislamu wanaogopa kutoa hela, zinaliwa na viongozi.
 
Tarehe 06/06/2022 saa 7.00 mchana
FB_IMG_16545128934472389.jpg
 
Tabia za wana utopolo zinajulikana, kelele mingi sana lakini chokaaa. Hawana purchasing power. Kazi kujitutumua tu.
Simba maneno kidogo action kubwa.
Sasa utopolo wekeni waganga wenu waroge teknolojia isome miamala kwenu wakati ni hewa.
Huku hakuna jezi za bure
 
Sasa naelewa kwanini utopolo akiwa mwenyeji anahangaika sana kupata support ya simba kufanya promotion ili kujaza mashabiki uwanjani.
 
Yanga asilimia kubwa mashabiki wake ni wazee wa kizamani ambao wengi wao elimu na maisha yao ni ya hawana kipato kawaida na hao mashabiki waliwapata zamani huko hivyo mashabiki wao wengi wazee
Simba mashabiki wake wengi watoto na vijana na kumbuka watoto na vijana ndio wengi mahali popote that's why hata kwenye mitandao yote Simba anaongoza kuanzia FB insta Twitter you tube kwa kifupi mashabiki wa Simba ni vijana ambao wana masimu makali wanaingia twiter fb insta wakati yanga mashabiki wake wengi hawana smart phone wanatumia kiswaswadu utapata folloers wengi katika mitandao nakuhakikishia Simba ndio inaongoza kwa mashabiki hapa tanzania kwa hilo najua Kwenye hili Simba wataongoza tu fuatilia hata mechi za Simba na Yanga mara nyingi Simba ndio wanakuwa wengi haijalishi awe mwenyeji au mgeni
 
Huwezi kujiita mwana simba na hujachangia
 
Mashabiki wa yanga wapo vijiwe vya kahawa
 
Back
Top Bottom