Nani zaidi? Simba vs Yanga thread

Yanga ni wengi kwa idadi ila hawana hela, kelele tu kama za manara
Hii challenge watakaoshinda ni simba
 
Mpaka hapa viongozi wa Yanga wana kazi kubwa ya kuongezea hamasa kwa mashabiki wao maana kupindua meza ni ngumu sana maana gap inazid kuwa kubwa
Huyu aliyeanzisha hii kampeni ni mchochezi tu
 
Waishajua sisi watz ni mapopoma hapa wanachota pesa za bure bure kisa uyanga na usimba.

Waingereza walituachia ugonjwa fulani hivi, udaku na mpira hatujui.
We ndio mpumbavu sana!

Unadhani mtu kuipenda timu na kutoa pesa ni upopoma?

Una roho ya uchoyo na itakubakiza huko huko kwenye umaskini
 
We ndio mpumbavu sana!

Unadhani mtu kuipenda timu na kutoa pesa ni upopoma?

Una roho ya uchoyo na itakubakiza huko huko kwenye umaskini
Ni kawaida mpumbavu kujiona mwerevu,

Sasa mwerevu wewe, unaniita mimi masikini, sawa nakubali mie masikini, lakin mke wangu hali kwako, wanangu husomeshi wewe, aijawahi kukuomba hata chumvi, bado unaniita mimi masikini[emoji23]

Haya tajiri wa JF, usikute unaandika hii comment upo kwenye masofa ya shemeji yako. [emoji23]
 
Simba ndio club yenye mashabiki wengi mpaka saiv tz., hili halina mjadala. mitandaoni, kwenye vibanda umiza mpaka viwanjani!! Na hili shindano lingekuwa linafanyika simba wapo kwenye ubora wao lingepigwa gap la hatari sana!!!

Sent from my TECNO-L8Plus using JamiiForums mobile app
 
Tunaweza hitimisha hivyo kwavile imeangaliwa namba, lakini hapo hapo hizo namba hazijaangalia factors zingine mfano

1) pengine washabiki wa Simba wengi wao wanakipato kuliko wa Yanga ambao wengi wana hali duni.

2) Mashabiki wa Simba ni rahisi kuhamasika kuliko wa Yanga ambapo wengi ni wabahili..
3) Mashabiki wa Simba wengi ni wakisasa hivyo mambo ya mitandaoni hawapitwi tofauti na wa Yanga pengine wengine wengi wao ni wazee.

Kwavile sensa inapita nyumba kwa nyumba, nchi nzima na kuchukua data ya kila aina ya binadamu basi pengine wangeweka option ya kuuliza timu anayoshabikia watu, wangetoa takwimu yenye uhalisia zaidi kuliko hii project ya nani zaidi



Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
 
Vibanda umiza mashabiki wengi hua ni SIMBA, pale kwa Lupaso mechi zote SIMBA pia wanakua wengi mno.
 
Lkn kuna sadaka huwa wanatoa kisiri siri pasi hata mtu mwengine kujua.

Ya nini kutoa sadaka ambayo hujui kama itafika kwa walengwa au itafika kwa wachumia tumbo.
 
Vibanda umiza mashabiki wengi hua ni SIMBA, pale kwa Lupaso mechi zote SIMBA pia wanakua wengi mno.
Zote hizo zinaingia kwenye factor nilizozitaja hapo juu. Mfano mzuri tu ni mimi mwenyewe. Mimi ni mshabiki wa Yanga lakini tokea nizaliwe sijawahi hata siku moja kukanyaga uwanja wa Mkapa kutazama mechi. Sijawahi kutoa hata sumni kwaajili ya kuchangia timu.

Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
 
Hata vibanda umiza hua huendi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…