Nani zaidi? Simba vs Yanga thread

Umechangia sh ngapi weww
 
Kwani wanachangisha kupata milion 100 tu?
 
Huyo mwenye 49% keshasema kwenye ishu ya uwanja anatoa sh bilion 2 unataka mashabiki mtoe nini kwa 51% iliyobakia sasa?
 
Hiyo asilimia 51% sio ya kutoa michango yenu pale kwenye timu mkuu

Ila ni dhamani nzima ya timu na ndio maana Leo hii Mo dewji anaitumia Brand ya timu katika matangazo Yale

Yaani matangazo kwenye jezi aweke na pesa achangiwe
 
Hii idea ya mchakato huu ni ya Simba,ikapelekwa Azam ili ipate airtime
 
Unaonekana unajua mambo mengi sana ya ndani ya Simba kuliko hata watendaji wenyewe.
Sio Simba tu hata Yanga pia........Nina marafiki wengi waajiriwa ndani ya hizi Taasisi za kariakoo na tukikaa nao wanaeleza ukweli uliopo ndani ya hizi Taasisi
 
Basi wewe ni mtu mzito sana,kama unaweza kujua mambo ya Simba zaidi ya Barbra, Try Again au Magori ambao ni watendaji wakuu wa Simba.Unapaswa kuogopwa.
 
Sio kuogopwa tu na kukimbiwa pia kama naweza kujua mambo mengi ya mke wako kuliko ww pamoja na ya Mama yako kuliko Baba yako
 
Umetisha sana,inaelekea unajua hata mambo ya Mungu kuliko Mungu mwenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…