mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 20,925
- 51,688
najua kwa hizi timu mbili hizo ni nauli za go and return ya mechi moja Kigoma pamoja na malazi but mbona aliyeanzisha mchakato ni Azam? Inawezekana pia kuna timu inatuliza presha ya mashabiki zao kwa kukosa kombe ila haya mambo mbona ya kitoto kama ni hivo
Umechangia sh ngapi wewwnajua kwa hizi timu mbili hizo ni nauli za go and return ya mechi moja Kigoma pamoja na malazi but mbona aliyeanzisha mchakato ni Azam? Inawezekana pia kuna timu inatuliza presha ya mashabiki zao kwa kukosa kombe ila haya mambo mbona ya kitoto kama ni hivo