Nansio-Ukerewe: Mtoto aganda Mkono Hewani baada ya Kumpiga Mbwa na Jiwe

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
10,931
Reaction score
24,816
Tupate habari kamili. Katika jambo ambalo limeonesha kushangaza baadhi ya watu na wenyeji kutoshangaa sana ni tukio la kisayansi ambalo limetokea baada ya mtoto mmoja kurusha jiwe kwa mbwa na hatimaye mkono huo kuganda.

Tukio hilo limetoka Katika Kijiji cha Nansio Wilaya ya Ukere Mkoa wa Mara Nchi ya Tanzania,Ukanda wa Afrika Mashariki, Bara la Afrika, Sayari ya Dunia. Ama kweli ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni.

 
Mwisho mtakuja na heading kama hzi; "AKAMATWA NA MAMBA AKIOGA BAFUNI NYUMBANI KWAKE HUKO UKEREWE" πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…