Ameweka jamanUpo wapi ujaweka location na number ya simu mkuu
Nimeona asaivi hapaAmeweka jaman
20,000 atakwambia hivyo hua hazivuki 50,000Ipo PC ya dell bei gani
Yaan 50 kwenda juu sijaelewa20,000 atakwambia hivyo hua hazivuki 50,000
50,000 mwisho haivuki hapo tena hio iwe nzuri kweli kweli ndio atakupa 50Yaan 50 kwenda juu sijaelewa
Nina dell hapa Ina hdd 500 Ina ram gb 2 na ni core 2 vipi hii unanunua kwa bei gani ila inashida upande wa housing kioo ni kizima mkuuNichek 0767953873
Nipo ilalala Dsm
Hakuna kitu km hichoBei inategemea
Ubovu
Model ya PC
Specs
20,000Nina dell hapa Ina hdd 500 Ina ram gb 2 na ni core 2 vipi hii unanunua kwa bei gani ila inashida upande wa housing kioo ni kizima mkuu
Umeandika kama wewe ndio unanunua mkuu 😂 😃20,000
Niliwaji jibeba na PC zangu mbili hadi pale machinga Complex niliambulia 50k kwa zote mbili sema nilikuwa na shida hata pesa ya kula sikuwa nayo ila ilikuwa ni biashara ya kinyonyaji Labda kwa sasa Jamaa kabadilika.Hakuna kitu km hicho
Dell model gani mkuu?Nina dell hapa Ina hdd 500 Ina ram gb 2 na ni core 2 vipi hii unanunua kwa bei gani ila inashida upande wa housing kioo ni kizima mkuu
Sio lazima upige simuMueka Uzi uwa aweki bei mpaka muongee na simu 😹
NB; sio wote tunapenda kupiga simu
Model ni Inspiron 1525Dell model gani mkuu?
NItumie picha whatspp 0767953873
Sio lazima upige simu
Tunaweza chart through whatspp
Tuma picha niione vizuri