Biashara ya Computer haifanyiki ki ujumla jumla.Mueka Uzi uwa aweki bei mpaka muongee na simu 😹
NB; sio wote tunapenda kupiga simu
Hakuna kubadirika na usipokua makini unarudi na kanyaboya yaan ukiwaachia kidogo tu wanachomoa vifaa msipoelewana bei unarudi na box tupu washachomoa vifaa muhimu sana sana vile vinavyowezesha internet connectionNiliwaji jibeba na PC zangu mbili hadi pale machinga Complex niliambulia 50k kwa zote mbili sema nilikuwa na shida hata pesa ya kula sikuwa nayo ila ilikuwa ni biashara ya kinyonyaji Labda kwa sasa Jamaa kabadilika.
Haivuki 50,000 acha kumpanga usifanye hatujuiBiashara ya Computer haifanyiki ki ujumla jumla.
Tuna angalia...
Uwezo wa computer (Specs)
Model (isiwe ya zamani sana)
Ubovu( inaweza isiwe inawaka lakini baadhi accessories zikawa nzima)
20,000 hio ya kwako haivuki 20,000 kwa hio jiandae kisaikolojiaModel ni Inspiron 1525
Kama hiyo Dell insp 1525Mkuu jT0078 ndio hiyo hiyo mkuu uliyoweka picha
Wewe huwa unanunua sh ngapiHaivuki 50,000 acha kumpanga usifanye hatujui
Walichomoa wakati unaangaliaHakuna kubadirika na usipokua makini unarudi na kanyaboya yaan ukiwaachia kidogo tu wanachomoa vifaa msipoelewana bei unarudi na box tupu washachomoa vifaa muhimu sana sana vile vinavyowezesha internet connection
20,000 haivuki 50,000 ndio bei zenu halafu sura km mmelamba ndimu hutaki ondoka ndio lugha yenuKama hiyo Dell insp 1525
Ni old Dell model
Inatumia kioo size 15.4 inverter (old sana)
Hdd lazima tupime life
Housing umesema imekatika
Unaweza Kuta battery MBOVU
Keyboard MBOVU
Charger inaweza kubwa nzima
Board inawaka ingawa sijui changamoto nyengine
Hivyo unapaswa uilete niikague then tuongee bei
Wewe huwa unanunua sh ngapi
Alikua anakagua kuna PC yangu Lenovo moja hivi jamaa alichomoa vifaa alijifanya anaenda nayo juu pale pale machinga Complex kumbe juu kaenda kuichomoa vifaa halafu akarudi nayo tumepishana bei narudi home kukagua nakuta kachomoa RAM kachomo vifaa kibao halafu kaifunga nilimfuata akajifanya yupo Zanzibar Ofisini pale anawapanga mwambieni nipo Zanzibar kumbe yupo maeneo yale yale, msifanye hatuwajuiWalichomoa wakati unaangalia
au uliwaachia wakakague then wakupe report???
Unapatikana wapi?Wakuu
Nanunua Computer zilizotumika/kuharibika iwe Laptop au Desktop kama spare
Wasiliana nami kwa 0767953873
Alienda nayo juu vp wakati mlikuwa ofisini kwake anakagua mbele yako?Alikua anakagua kuna PC yangu Lenovo moja hivi jamaa alichomoa vifaa alijifanya anaenda nayo juu pale pale machinga Complex kumbe juu kaenda kuichomoa vifaa halafu akarudi nayo tumepishana bei narudi home kukagua nakuta kachomoa RAM kachomo vifaa kibao halafu kaifunga nilimfuata akajifanya yupo Zanzibar Ofisini pale anawapanga mwambieni nipo Zanzibar kumbe yupo maeneo yale yale, msifanye hatuwajui
Aliondoka nayo akapanda nayo juu madai kwamba kuna mtu anaenda kumuonyesha aikague sasa huko ndipo alipoenda kufanya ushenzi huo kachomoa vifaa RAM alizoweka sio zenyewe kachukua nzima kaweka mbovu kumbe nilizimark kuja kuangalia nachomeka kwenye PC nyingine hazifanyi kazi nikagundua mshenzi kashaiba vifaa tayari kwa hio uaminifu pale ni zero majority ni wezi wezi sanaAlienda nayo juu vp wakati mlikuwa ofisini kwake anakagua mbele yako?
Pole mkuu!Aliondoka nayo akapanda nayo juu madai kwamba kuna mtu anaenda kumuonyesha aikague sasa huko ndipo alipoenda kufanya ushenzi huo kachomoa vifaa RAM alizoweka sio zenyewe kachukua nzima kaweka mbovu kumbe nilizimark kuja kuangalia nachomeka kwenye PC nyingine hazifanyi kazi nikagundua mshenzi kashaiba vifaa tayari kwa hio uaminifu pale ni zero majority ni wezi wezi sana