Nanunua nguo kila ninapokutana na machinga hata kama sizihitaji, nifanyeje kuondokana na tabia hii?

Unavaa uniforms kazini kila siku.... Juu hadi chini...

Bhas nyumbani unabakiwa na tracksuits trouser moja na pensi moja.. Plus t-shirt 2..moja ya local team na nyingine ya nje huko..

Na sandals za kushindia weekend bhas..

Hakuna mambo mengi
 
Sivai suruali za vitambaa wa kadeti kabisa.
Nina jeans tupu za mwaka huu 17
Za zaman zipo sijapata wakumpa.

Shati za mikono mifupi ninazo vaa ni nyingi sana sijui hata zipo ngap maana nachukua tu sinunui.. kinachosababisha niwe na shati nyingi huwa navaa shati mara moja tu kisha inafuliwa.

Boxer kwasas ninazo kama 8 hivi sina uhakika maan nafuliwa sijui idadi.

T-shirt 6

Track za mazoezi na ya kushindia nikiwa hom 3

Jezi 2

Huwa sivai pensi hivo basi sina pensi kabisa.

Sendo za kutokea pea 5
Raba 4
Open shoes Teva 2
Kanzu 2
Vest za kuvalia shati 16

Nina ndugu yangu akija mjini huwa anasomba na begi kubwa sana sina mtu mwingine wa kumpa


Huwa sivia
 
Mbona kobazi hata pair moja huna[emoji16][emoji16]
 
Katika watu ambao wana boksa chini ya 2, ni madereva wa bodaboda
Boda boda sijui wana nini aisee
Wewe Dada Umenifanya ñicheke Kwa Sauti😂😂😂mbona mnawaonea Sana Ma bodaboda Jamani! Nadhani haujawahi KUKUTANA na walio Smart!! Kuna Kaka Alikuwa Bodaboda wangu Nzega,Alikuwa Smart Sana utafikiri mtu wa Ofisini Yaani
 
Wakati mwingine huwa tunanunua vitu kwa watu ambao ni less privileged sio kwa sababu tunahitaji. Tunafanya hvyo ili kuwapa support na ni namna vilevile ya kugawana riziki kwa wenye uhitaji. So keep it up bro, Mungu akubariki🤔
 
Nina utaratibu wa kufua nguo kila baada ya miezi miwili na sina utaratibu wa kurudia nguo, kwa hiyo namiliki nguo nyingi sana zingine naweza vaa mara moja kwa mwaka au nisivae kabisa na zote hua ni brand new original na si mtumba NB: Kuvaa na kupendeza ni hobby yangu toka nipo mdogo
 
Kaptura ndio kinjunga?
 
Dalili Moja wapo ya kuendelea kua maskin, kununua kitu ambacho hukihitaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…