Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Oa wawili mkuu waje na double blessing......
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ni kweli kabisaOa kijana, mke ana baraka haswa akishakuzalia mtoto utaona mambo yanafunguka tu. Ila awe amekuridhia tu na hali yako sio unaingizwa mkenge na tapeli anayetafta ndoa kwa nguvu ili kujificha na uzee maana hawa ndio wengi sikuhizi unamuoa halafu anaendelea kudanga atakutia nuksi tu... Oa mwanamke mwenye mipango ili mpige hatua kimaisha.
SubutuuuOa wawili mkuu waje na double blessing......
NAKAZIAKataa ndoa.
Wakuu habarini...??niende kwenye mada moja Kwa moja.
Nimejaribu kupambana na haya maisha toka nimalize chuo mwaka 2018 lakini mpaka sasahivi bado sijajipata.
Lengo langu nilitaka nipate maisha kwanza ya kujitegemea ili badae nioe lakini naona umri unazidi kwenda na maisha bado magum sana kwenye huu utawala wa samia pesa haina thamani kabisa ila watu waliopo Kwenye nafasi wanapiga pesa Tu.. hongera kwao.
Mulio kwenye ndoa naombeni ushauri,hivi ni kweli mwanamke huwa anakuja na baraka kwenye ndoa...au ndo maisha yangu yatakuwa magum kuzidi wakati huu nilipo single??wengi wanasema ukioa mwanamke anakuja na baraka zake sijui ni kweli.
Karibuni kwa ushauri wakuu.
Yani wewe Maisha yanaenda kukunyoosha unyooke kama Rula kama akili zenyewe ndio izo.Wakuu habarini...??niende kwenye mada moja Kwa moja.
Nimejaribu kupambana na haya maisha toka nimalize chuo mwaka 2018 lakini mpaka sasahivi bado sijajipata.
Lengo langu nilitaka nipate maisha kwanza ya kujitegemea ili badae nioe lakini naona umri unazidi kwenda na maisha bado magum sana kwenye huu utawala wa samia pesa haina thamani kabisa ila watu waliopo Kwenye nafasi wanapiga pesa Tu.. hongera kwao.
Mulio kwenye ndoa naombeni ushauri,hivi ni kweli mwanamke huwa anakuja na baraka kwenye ndoa...au ndo maisha yangu yatakuwa magum kuzidi wakati huu nilipo single??wengi wanasema ukioa mwanamke anakuja na baraka zake sijui ni kweli.
Karibuni kwa ushauri wakuu.
Wakuu habarini...??niende kwenye mada moja Kwa moja.
Nimejaribu kupambana na haya maisha toka nimalize chuo mwaka 2018 lakini mpaka sasahivi bado sijajipata.
Lengo langu nilitaka nipate maisha kwanza ya kujitegemea ili badae nioe lakini naona umri unazidi kwenda na maisha bado magum sana kwenye huu utawala wa samia pesa haina thamani kabisa ila watu waliopo Kwenye nafasi wanapiga pesa Tu.. hongera kwao.
Mulio kwenye ndoa naombeni ushauri,hivi ni kweli mwanamke huwa anakuja na baraka kwenye ndoa...au ndo maisha yangu yatakuwa magum kuzidi wakati huu nilipo single??wengi wanasema ukioa mwanamke anakuja na baraka zake sijui ni kweli.
Karibuni kwa ushauri wakuu.
Nakazia. Naongezea haya.Kwanza, kabla ya kuoa hakikisha huyo mwenza wako ameridhika na hali yako na yuko tayari kuanza kujitafuta kimaisha mkiwa pamoja.
Pili, usiingie kwenye ndoa kwa malengo ya kwenda kukipata kile ambacho umekikosa kwa huo muda uliotumia kujitafuta.
Tatu, unapaswa uelewe kwamba baraka(Rizki) zipo nyingi hivyo yaweza ikawa tofauti na pesa.
Nne, hakikisha unashughuli ya kufanya walau itayokidhi malazi, makazi na chakula hata kwa kiasi kidogo.
Tano, uwe na utayari wa kukabiliana na changamoto zote utakazokutana nazo.
Mwisho, nakutakia mema kwenye safari hii.
Muhimu: Rizki siyo pesa peke yake.
Wakuu habarini...??niende kwenye mada moja Kwa moja.
Nimejaribu kupambana na haya maisha toka nimalize chuo mwaka 2018 lakini mpaka sasahivi bado sijajipata.
Lengo langu nilitaka nipate maisha kwanza ya kujitegemea ili badae nioe lakini naona umri unazidi kwenda na maisha bado magum sana kwenye huu utawala wa samia pesa haina thamani kabisa ila watu waliopo Kwenye nafasi wanapiga pesa Tu.. hongera kwao.
Mulio kwenye ndoa naombeni ushauri,hivi ni kweli mwanamke huwa anakuja na baraka kwenye ndoa...au ndo maisha yangu yatakuwa magum kuzidi wakati huu nilipo single??wengi wanasema ukioa mwanamke anakuja na baraka zake sijui ni kweli.
Karibuni kwa ushauri wakuu.
Oa kijana, mke ana baraka haswa akishakuzalia mtoto utaona mambo yanafunguka tu. Ila awe amekuridhia tu na hali yako sio unaingizwa mkenge na tapeli anayetafta ndoa kwa nguvu ili kujificha na uzee maana hawa ndio wengi sikuhizi unamuoa halafu anaendelea kudanga atakutia nuksi tu... Oa mwanamke mwenye mipango ili mpige hatua kimaisha.