Naoa mwezi wa nane, naombeni ushauri

Naoa mwezi wa nane, naombeni ushauri

Hivi zile ndoa za "halaiki" kwa hisani ya taasis ya Sheikh Nurdin Kishki zina mrejesho wowote?

Wale vijana "wa TASAF" waliolipiwa mahari,bila shaka wanasaidiwa hadi kutunza wake.
 
Wakuu habarini...??niende kwenye mada moja Kwa moja.

Nimejaribu kupambana na haya maisha toka nimalize chuo mwaka 2018 lakini mpaka sasahivi bado sijajipata.
Lengo langu nilitaka nipate maisha kwanza ya kujitegemea ili badae nioe lakini naona umri unazidi kwenda na maisha bado magum sana kwenye huu utawala wa samia pesa haina thamani kabisa ila watu waliopo Kwenye nafasi wanapiga pesa Tu.. hongera kwao.

Mulio kwenye ndoa naombeni ushauri, hivi ni kweli mwanamke huwa anakuja na baraka kwenye ndoa...au ndo maisha yangu yatakuwa magum kuzidi wakati huu nilipo single??wengi wanasema ukioa mwanamke anakuja na baraka zake sijui ni kweli.

Karibuni kwa ushauri wakuu.
Ushauri wangu, oa
 
[emoji1][emoji1]
IMG_20240510_063435_731.jpg
 
Je wajua?
Wake za watu ndio wanaoongoza kupigwa paipu na walimwengu?
Mwanaume masikini na kulombewa ni pai 3 desimali 1 nne?
Oa tukulombee, Ahsante
 
Una miaka 25 au 26? Mwenzako ana mingapi?
Utakaa nae karibu na ndugu zako anaoweza kuwaogopa na kuwaheshimu? Au umepanga maeneo ya kkawaida.
mahitaji ya msingi na ziada kidogo inapatikana?
Anafanya kazi? Au utamuacha nyumbani.........Vipi boda boda wa mtaani kwenu wana adabu?

Una katiba? Simamia katiba yako...kama hauna iandae mfano

UKI CHEAT NIKAJUA NAKUBONDA NATOA MENO MAWILI NAKUACHA LABDA ASULUHISHE MUNGU

UKITEMBEA NA MKE WANGU NA TUNAJUANA LAZIMA UPATE ALAMA INAYOSHONEKA USONI ILI UKIANGALIA KIOO UNIKUMBUKE KAMA BABA WA FUMANIZI

SERIKALI KUU NI VICHWA VYETU, NDUGU ZANGU NA WAKO NI WENYEVITI WA VITONGOJI WANAWEZA KUSHAURI NA KUPENDEKEZA MAAMUZI NI YETU, NA MAAMUZI YA JUU YA MWISHO KABISA NI YAKO

UKIWEZA PIA TENGENEZA MASUALA YA MUUNGANO, KAMA NCHI YETU ILIVYO TUMEUNGANA NI NCHI MOJA, LAKINI YEYE NI NCHI ANAWEZA KUWA NA MAAMUZI YA MASUALA YAKE BILA KUATHIRI MASUALA YA NCHI.MFANO WA MASUALA YA MUUNGANO NI MWILI WAKE asije kuanza kupaka mkorogo bila ruhusa na wewe unanyonya ma TT unakula chemical, ulipenda weusi anakuwa wa njano.
 
Back
Top Bottom