Naogopa atanizalia watoto waislam

Huyo muislam jina, hana Uislam.


Uongo mtupu.
 
Upuuzi kabisa
 
Embu zalishe wee kwani dini inakupa nn unaogopa kitu ulicholetwa na wazungu eti naogopa mgawanyiko

Mm mwanangu wa kwZa Ni rc wapili Ni msabato na. Watatu ni muislamu anaitwa Hassan na Wal siwazi kbsaa kila mtu abaki na dini yake. Mm Bab Yao Ni kkkt na Wala siataki kuabdili
 

sasa uliruhusuje wanao kua dini tofauti??

hamna baba hapa[emoji3][emoji3]
 
Ondoa wasiwasi kuhusu huyo Binti wa kiislam Kwa sababu
1. Hajalelewa katika maadili ya kiislam na uislam wake ni jina tu
2. Mtoto wako upo uwezekano mkubwa akafuata dini yako kama utataka hivyo kwa sababu mama yake hana msimamo wa kiislam(rejea point ya kwanza).
3. Inaonekana hata huo ukristo wako ulichaguliwa na wazazi wako. Ulilelewa katika ukristo ukaupenda na kuuamini, pengine ungezaliwa na wazazi waislam ukalelewa kiislam ungeupenda uislam kama sasa hivi unavyoupenda ukristo. Point yangu ni nini? Hizi dini tulizoletewa au kuzirithi kutoka kwa waliotutangulia zinaweza kuwa za uongo. Siku zote uongo ukiaminiwa na wengi unageuka kuwa kweli. Ukristo au Uislam dini mojawapo ni ya uongo au zote zinaweza kuwa za uongo bila kujali wangapi wanaziamini. Muache dogo aamini atakachoamini, usimpandikize dini kama wewe ulivyopandikizwa
 
usihofu watakua waislamu wa majina tu au wa kukariri,,,ila kitaa tutakua nao kwenye kitimoto na bia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…