Naogopa atanizalia watoto waislam

Usikubali kuakaribisha Mila na tamaduni za kiarabu kwenye ukoo utakuja kujuta
 
Hata wewe siku uliyozaliwa ulikuwa Muislam baadae ndio ukabatizwa kuingizwa katika ukristo
 
Mkuu mi mkristo ila usilam ndo dini ukristo uhuni tu
 
unakuwa kama zamaradi hivi, ruge kaweka mbegu watoto wamefuata dini ya mama, au sugu kwa faiza. kati ya vitu nilivyokuwa naogopa maishani ni hivyo, kuwa na mtoto mwenye imani ya jihad.
 
Wengi siku hizi dini ni majina tu kwa hiyo tusidanganyane kuwa kuna waabudu sana na waumini sana huo ni uongo
Wewe unasema eti ungependa ila hupendi halafu huna ubaguzi huku unasema ooh atakuzalia waislam
Sasa bora uzae tu ukienda nae wewe muislam na ukirudi home wewe ni mkristo basi iwe changanyikeni tu na maisha yanaenda
Wala usijali mpo wengi wa hivyo, unakataa huku unataka
 
Usije ukapata mtoto na binti wa Hamas.
Hawa watu ukiwaangalia ni km wastaarabu hivi lkn asili yao ni ugaidi.
Hilo wazo la kuzaa na huyo binti futa kabisa, litakapokuja suala mtoto kupewa jina, hautashirikishwa utashangaa mtoto anapewa jina na anataka malezi ya mtoto. Usithubutu
 
Baba ndiyo ana maamuzi 100% Hamas hawafai wajinga sana
 
Baba ndiyo ana maamuzi 100% Hamas hawafai wajinga sana
Nakuambia siku hizi asilimia kubwa ni majina tu
Sasa unamtajirisha mtu anaekuhadaa badala ya kumpa muhitaji (masikini) moja kwa moja
Ukiwa huko lazima uponde
Chuki pia inasababisha ila kila mmoja apambane kivyake
 
Nakuambia siku hizi asilimia kubwa ni majina tu
Sasa unamtajirisha mtu anaekuhadaa badala ya kumpa muhitaji (masikini) moja kwa moja
Ukiwa huko lazima uponde
Chuki pia inasababisha ila kila mmoja apambane kivyake
Siyo majina.
Shida ya Hamas huwa hawaeshimu imani za watu wengine na pia yupo radhi afe kisa dini ila siyo kutenda mambo mema.
Hamas anaweza kumuita mtoto jina hata haujashirikishwa halafu anataka utoe matumizi kwa mtoto hapo unabaki kuwa baba jiba tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…