Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Siyo majina.
Shida ya Hamas huwa hawaeshimu imani za watu wengine na pia yupo radhi afe kisa dini ila siyo kutenda mambo mema.
Hamas anaweza kumuita mtoto jina hata haujashirikishwa halafu anataka utoe matumizi kwa mtoto hapo unabaki kuwa baba jiba tu
Baba ndiyo ana maamuzi 100% Hamas hawafai wajinga sana
Naona una lako tangu umefungua huu uzi ili ututukane tuBaba ndiyo ana maamuzi 100% Hamas hawafai wajinga sana
Ila kama unaona matusi na kejeli ndio lengo lako basi naona nifunge mjadala na wewe
Tangu mwanzo nimekuambia hueleweki lakini mwisho unaonyesha chuki zako
Uwe na siku njema